Kwa ufupi:
Ufugaji wa nguruwe hapa nchini umeanza siku nyingi hususani katika mikoa ya nyanda za juu kusini
(Mbeya, Rukwa, Iringa, na Ruvuma), Kaskazini (Manyara, Arusha, na Kilimanjaro). Aina za nguruwe
wanaofugwa hapa nchini ni wa kigeni, chotara na koo mbalimbali za kienyeji