Kwa ufupi:
Josho la kuogeshea mifugo hususani ng'ombe ni njia rahisi na va
ufanisi mkubwa va matumizi va dawa za kuua kupe. Hata hivyo,
njia hii isipotumika vizuri, ufanisi wake hupungua au haupatikani
kabisa. Hivvo ni muhimu josho litumike vizuri na kwa uangalifu
mkubwa. Maeneo vanavcelezewa katika kijitabu hiki vanahitaji
kutiliwa maanani na mfugaji wakati wa kutumia josho.