Kwa ufupi:
kitabu hiki cha utunzaji wa ndama wa asili kimejikita katika kutoa elimu juu ya utunzaji wa ndama wa asili ikiwemo pamoja na magonjwa yanayo wasumbua .Kitabu hiki kimeeleza kwa undani juu ya swala la utunzaji wa ndama wa changa,njia za uzalishaji wa kolostramu,magonjwa yanayowapata ndama wadogo,uzuiaji wa ndigina kali,