Ghala la Mkulima

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Laswai, G. H; Mnembuka, B. V; Lugeye, S. C (SUA - TU Linkage Project, 2000)
    Kijitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya wafugaji wa sungura katika Tanzania. Kinajihusisha zaidi na kanuni muhimu ambazo mfugaji wa sungura anapashwa kuzifuata au kuzingatia wakati akitunza wanyama hawa.
  • Mwandishi Hajulikani (International Tanfeed Ltd, 2005)
    Ufugaji wa sungura ni moja wapo ya chanzo kizuri cha mapato nchini Tanzania kama watanzania watafanya yafuatayo, • Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. • Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Tanfeed Ltd, 2004)
    Kwa mazingira yetu haya ya joto, unyevunyevu mkubwa na jua kali hivyo katika uchaguzi wa sehemu sahihi kwa ajili ya ufugaji wa sungura inategemeana na vitu vifuatavyo;  Mahali maalum  Hali ya hewa  Mtaji  Ukubwa wa mradi.
  • Katule, A. M; Mnembuka, B. V; Madalla, N; Lamtane, H; Mnubi, R (PANTIL - SUA, 2010)
    Ufugaji wa samaki huweza kufanyika kwa kutumia rasilimali zinazopatikana katika mazingira ya mkulima na pia husababisha matumizi bora ya rasilimali za mkulima. Kitabu hiki kinasisitiza ufugaji mseto wa samaki, ikiwa na ...
  • Idara ya ukuzaji viumbe maji. (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2021)
    Ili kuendana na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2016 - 2021) inayosisitiza Tanzania ya Viwanda, inashauriwa ufugaji wa samaki ufanyike kwa kutumia teknolojia za kisasa zenye tija kwa ajili ya kuongeza ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-05)
    FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE • Kambare ni aina ya samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko perege na aina nyingine za samaki. • Nyama ya kambare ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-05)
    Katika toleo liliotangulia, tulizungumzia kuhusu utayarishaji wa mabwawa na matangi ya kufugia kambare, muda na kiasi cha mbolea na chokaa kinachohitajika kuongezwa kabla ya kuingiza samaki, uchaguzi na usafirishaji wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-07)
    Bata Bukini ni ndege ambao asili yao ni India na Japan. Hii ni jamii ya ndege wafugwao lakini tofauti kubwa ya bata wa kawaida wao wana asili ya usafi hivyo hawapendi uchafu na kamwe hawali mizoga.
  • SAT (Kituo cha mafunzo ya wakulima, 2023)
    Mfugaji wa kuku ana jukumu la kuhakikisha kuku wake wanaishi katika mazingira mazuri kiasi cha kutosha kufanya uzalishaji.Kuku ni jamii ya ndege wanaofugwa.Vifaranga ni watoto wa kuku waliotoka kwenye yai wenyeumri kuanzia ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2010)
    Mwaka 2008/9 RLDC ilifanya majaribio ya mfumo wa ufugaji wa kuku wa asili kupitia vikundi vidogo vya wafugaji wa vijijini katika vijiji vya Bupandagila na Mbiti, Wilayani Bariadi katika Mkoa wa Shinyanga. Huu ni ufugaji ...
  • Bunda farmers (Sokoine university of agriculture, 2012)
    Kuku wa kienyeji ni kuku wanaopendwa kufugwa na kuliwa na watu wengi kutokana na uasili wake. Jina la kuku wa kienyeji limekuwa maarufu kutokana na asili(mbegu) ya kuku hawa kutoka katika mazingira yetu tunayoishi, pia ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2011)
    Ufugaji wa mbuzi wa maziwa unaendelea kutia fora hasa katika sehemu zenye uwezo pale ambapo mashamba ya kulishia ng’ombe wa maziwa yanapunguka. Sawa na ng’ombe wa maziwa hata mbuzi wa maziwa huhitaji utunzaji mwema.
  • Mwandishi Hajulikani (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, 2010)
    Kipeperushi kinachoelezea ufugaji wa pweza ndani ya kipindi cha miezi 12 na kuanza kupata chakula au biashara
  • Mwandishi Hajulikani (Kitivo cha Tiba ya Mifugo - SUA, 2017-08)
    Maelezo juu ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa na athari zake.
  • Mwandishi Hajulikani (Harsho Trading Co. Ltd, Moshi Tanzania, 2016)
    Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kwa upande wa HARSHO FEEDS tupo tayari kumhudumia mfugaji wa kuku kwa kumpatia chakula na utaalamu sahihi. Katika uleaji wa vifaranga kuna tofuati kati ya vifaranga wa ...
  • Smith, Kassandra (www.backyardchickencoops.com.au, 2015-12)
    Looking to start your own flock of backyard chickens? Or perhaps you are wondering which chicken breed you should add to your established chicken coop? Look no further! Read on for our comprehensive list of the top 20 ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Livestock Research Institute - ILRI, 2016)
    Ndigana kali ni ugonjwa hatari wa ng’ombe unaoenezwa na kupe wekundu wanaokaa katika masikio ya ng’ombe. Ugonjwa huu unasababisha vifo na hasara kubwa kiuchumi.
  • Idara ya ukuzaji viumbe maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi,, 2022-03)
    Kaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). ...
  • Lukuyu, Ben; Githinji, Julius; Lukuyu, Margareth (International Livestock Research Institute - ILRI, 2018-04)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa majani aina ya Brachiaria kwa ajili ya malisho ya wanyama kwa ajili ya uzalishaji bora wa nyama na maziwa.
  • Ravindran, V (Food and Agricultural Organization - FAO, 1995)
    Mwongozo uliotolewa wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa unaoelezea na kuchambua matumizi ya muhogo na viazi vitamu kama chakula cha wanyama.

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account