Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Agricultural Council of Tanzania - ACT, 2013)
    Jrida la ACT toleo lililokusanya taarifa juu ya Vyama vya wakulima, Kilimo biashara, Ufufuaji wa zao la korosho na Sera za kilimo.
  • Mwandishi Hajulikani (Canadian Foodgrain Banks - A christian Response to Hunger, 2017)
    Jarida linaloandika makala mbalimbali za kilimo NDANI YA TOLEO HILI kuna makala juu ya Mbolea ya kijani / Mazao funika yakipandwa na mahindi; Mbinu bora na salama za kuhifadhi nafaka; Wasifu wa washirika: Kulima Mbobumi ...
  • Bodi ya korosho Tanzania (Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 2022-12-15)
    Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Brilliantus blog, 2016-10)
    Miaka ya karibuni, utaalamu wa kilimo cha uyoga umeanza hapa Tanzania baada ya watu kutilia maanani lishe bora ya protini na manufaa mengine ya zao hilo. Kwa kuwa uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 2010)
    Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, huslawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 2009)
    Katika kundi la mazao ya mizizi, viazi mviringo ni maarufu na vina umuhimu wa pekec. Ni zao la chakula na biashara katika nchi nyingi zilizocndclca na zinazocndclea. Zao hili ni moja ya mazao manne ya chakula yanayozalishwa ...
  • Ngeze, Pius B. (Tanzania educational publishers Ltd, 2007-07-26)
    Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-01)
    Hydroponic fodder Ni uoteshaji wa mbegu pasipo kutumia udongo kwa muda wa siku 5- 7 tu kilo moja ya mbegu za ngano au mtama au shayiri au Mshindi zinaoteshwa na kumwagiliwa virutubisho maalum (HYDROPONIC NUTRIENTS) na ...
  • KILIMO HAI TANZANIA (Kilimo hai Tanzania, 2018-04-19)
    Soya ni zao jamii ya mikunde ambayo ina baadhi ya sifa za mbegu zinazozalisha mafuta. Zao la soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea.
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2009-12)
    Kujifunza kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ni muhimu kwa wakulima kwa sababu ya athari wanayoweza kuwa nayo kwenye kilimo. Wakulima wanaweza kutarajia kiasi cha joto kilichopanda na dhoruba za mara kwa mara, mafuriko ...
  • Ibrahim (Farmers MARKET, 2018-12-08)
    Kilimo cha Giligilani (coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza na zao hili huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna. Giligilani hutumika kama kiungo cha chakula katika mapishi mbalimbali kama nyama, supu au mchuzi. ...
  • Mtalula, Mohamed M. (mogriculture.com, 2016-06-11)
    Kilimo cha vitunguu maji ni muhimu sana hapa Tanzania. Vitunguu vinaweza kutumika kama zao la chakula au la biashara kwa aina zote za wakulima, wakubwa na wadogo. Zao la vitunguu linazalishwa kutokana na mbegu, na miche ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-08)
    Mmea wa fenesi unaweza kustahimili viwango vya juu vya joto na baridi. Mfenesi uliokomaa unaweza kustahimili joto la hadi digrii 48 na baridi ya hadi digrii 0. Baadhi ya mifenesi hukua hadi urefu wa futi 100, lakini pia ...
  • SUA (SUA, 2023-03-21)
    Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe.
  • Sanchez, Monica S (Publicdad, 2022-12)
    Ni tunda ambalo tunatumia kuandaa vinywaji, kupambana na wadudu na hata kupunguza pH ya maji ya umwagiliaji ikiwa ni kubwa sana kwa mimea yetu. Lakini ... leo ni wakati wa kujifunza jinsi ya kutunza mti wa limao, sio tu ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Minyoo huishi tumboni katika kondoo na mbuzi. Minyoo hii hutaga mayai ambayo hutolewa kupitia kinyezi chao kisha hukua hadi kiwango cha larvae kwenye mifugo.
  • Mwandishi Hajulikani (Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation - CTA, 2010)
    Mti wa muembe hukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kifisiolojia, fitapatholojia na za kientomolijia. Huko Afrika ya Magharibi uharibifu unaosababishwa na nzi wa miembe unaathiri uchumi na miaembe iliyopandwa katika maboma...
  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Mwongozo wa kitaalamu wa jinsi ya kuchagua na kulima kabichi kwa ajili ya kupata mavuno mengi na ustahamilivu wa magonjwa
  • Mwandishi Hajulikani (Mamlaka ya Pamba Tanzania, 2018)
    Kalenda inayoonesha juu muda wa kuanza kutaarisha mashamba nakulima kilimo cha pamba kwa mikoa ya Kanda ya Magharibi pamoja na Iringa na Manyara.
  • Mwandishi Hajulikani (Mogriculture.com, 2017)
    Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account