Mkulima: Recent submissions

  • Farm Radio (Upscaling Technologies in Agriculture Through Knowledge and Extension, 2017-12)
    Mwongozo huu ni matokeo ya mradi “Upscaling Technologies in Agriculture Through Knowledge and Extension (UPTAKE) katika mradi mkubwa wa “New Alliance ICT Extension Challenge Fund. UPTAKE unafadhiliwa na IFAD chini ya ...
  • Wekesa, Amos; Jönsson, Madeleine (Vi Agroforestry, 2015)
    MABADILIKO YA TABIA NCHI na hali ya hewa isiyotabilika kwa pamoja huchangia changamoto kubwa kwa wakulima wadogo wadogo katika eneo la Afrika Mashariki.Vi Agroforestry inafanya kazi na wakulima pamoja na asasi za wakulima ...
  • Communication Services, Centre for Language (Umoja Wa Afrika, 2020-05)
    Upungufu wa virutubisho, ambao unaathiri watu bilioni mbili ulimwenguni, husababisha upofu, kinga dhaifu, ukuaji wa mwili na utambuzi, kutokwa na damu wakati wa kujifungua, na shida nyinginembaya ...
  • Karuga, James (Farm radio fm, 2022-06-03)
    Jinsi kulima baadhi ya mazao pamoja (kilimo mseto) kunaweza kuongeza mavuno. Ni mazao gani ambayo yanaweza kupandwa pamoja bila kuingilia ukuaji na ukomavu wa kila moja, kwa mfano mazao ya mahindi na mikunde. Pia kuna ...
  • Mwananchi., Jafari Juma, (Yara Tanzania, 2022-01-25)
    Sekta ya kilimo ni mhimili wa uchumi wa Tanzania na imekuwa ikichangia pato la mkulima mmoja mmoja, kaya na Taifa kwa ujumla pia ni tegemeo la mapato ya fedha za ndani na za nje ya nchi. Sekta hii imeajiri zaidi ya asilimia ...
  • Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2024-06)
    Vyakula vya mgonjwa wa kisukari ni vipi? Je, kuna vyakula vinavyosababisha kisukari? Je mgonjwa wa kisukari anaweza kula vyakula vya wanga? Je, kuna vyakula vinavyosababisha Ugonjwa wa Kisukari? Kuna vyakula ambavyo vinaweza ...
  • chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2021-11-04)
    Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi ...
  • Programu ya pantil (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2009)
    ‘Carnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na ...
  • Programu ya pantil (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2009)
    Carnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na Nyandira ...
  • Malema, Beatus A (DCD/MAFC Tanzania, 2005-11)
    The origin of soya bean (Glycine max L. Merrill) is China; 2800 to 2300 B.C. Publications in China have been found to contain reference to medicinal value of soya beans (Hymowitz and Newell, 1981 in Myaka 1993). Soya bean ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Tanzania, 2018-04)
    Rosella ni mmea wenye virutubisho vingi kama vitamini na madini ya chumvi chumvi. Hutumika kutengeneza juisi, jam, jellies, sauces na mvinyo(pombe). Rosella hutumika kama kinga ya mwili na magonjwa kama saratani, ini na ...
  • Muungwana Blog (Muungwana blog, 2019-09)
    Rozela ni mmea wenye virutubisho vingi kama vitamini, na madini ya chumvichumvi.
  • Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 2022)
    Samaki kama viumbe hai wengine wanahitaji kula chakula ili waishi na kukua. Katika mazingira ya asili kama vile mito, maziwa na bahari, samaki hula chakula cha asili kinachopatikana ndani ya maji. Vyakula hivyo ni pamoja ...
  • TARP II SUA Project (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2004-03)
    Zao la mpunga liliingizwa nchini Tanzania miaka mingi iliyopita na wafanya biashara wa kutoka Mashariki ya Kati na India. Katika ukanda wa Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika zao hili hulimwa kwa wingi nchini Madagascar ...
  • TARP II SUA Project (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 2002-12)
    Warsha iliandaliwa na Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (TARP II SUA) unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoinc cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula ...
  • Inades formation Tanzania (inades formation Tanzania, 1992)
    Tanzania ina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji wanaofugwa kwa mtindo wa huria vijijini na hata mijini. Katika mtindo huu wa ufugaji, kuku huachwa huru mchana kutwa kujitafutia chakula wao wenyewe. Pengine baadhi ya ...
  • Joack Company, Joack Company (Joackcompany.business, 2021-10-21)
    Kilimo cha miwa ni kilimo chenye tija kwa mkulima, kilimo hiki kinaweza kufanywa na mtu yeyote yule aidha awe ameajiliwa au laaa.
  • Ngara, Lulenge (Tanzania Educational publishers L.T.D, 2002)
  • Kinabo, J.L (Sokoine university of agriculture, 2004)
    Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu tano ambazo ni: Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umri. Mama kula peke yake Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri Watoto wa ...
  • Myoya, T.J (Shirika la kilimo Uyole, 1990-05)
    Katika Nyanda za Juu za Kusini ni Mikoa miwili tu (Iringa na Mbeya) ambayo idadi ya ng'ombe wa maziwa imeongezeka sang. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa mradi wa kushughulikia wafugaji wadogo wadogo kati ya nchi ya Uswisi ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account