Kwa ufupi:
Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa
aina za mazao haya.
Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi
yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi
vikuu, Viazi mviringo, angawizi na Karoti. Wanawarsha
walikubaliana kuwa mazao ya jamii ya mizizi ambayo wakulima
wengi wanalima ni matano na hayo yakapcwa kipaumbele kwa
kutumia mbinu ya mlinganisho jozi