Ghala la Mkulima

Utafutaji Misitu na Nyuki Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Misitu na Nyuki Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Sokoine university of agriculture, 2022-12-22)
    Ikiwa ni tamu kuliko sukari, je asali, ni kimiminika asilia kinachochukua nafasi ya sukari? Mtaalamu wa lishe Jo Lewin anaainisha faida za kiafya na madhara ya asali. Asali hutengenezwa na nyuki. Hutokana na mkusanyiko wa ...
  • Bakari, A; Malimbwi, R. E; Lyimo-Macha, J. G (TARP II-SUA Project, 2004)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo ...
  • Mwandishi Hajulikani (United States Department of Agriculture, 1981-01-23)
    The greater wax moth is also known as the bee moth, the bee miller, the wax miller, and the web worm. In its larval stages, it damages combs and honey and is responsible for large losses to bee keepers in the United States. ...
  • Mrosso, Hillary Thomas (Sokoine university of agriculture, 2021-07-08)
    Kiashiria ni alama ambayo inatoa taarifa au tahadhari juu jambo fulani zuri au baya na kukufanya uweze kuchukua hatua mapema. Katika uhifadhi au sayansi ya wanyamapori kiashiria ni biolojia ya viumbe ambayo hutumia kuwepo ...
  • (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017-07)
    Kipeperushi kilicho na maelezo kwa ufupi juu ya miti ya Grevillia kuanzia upandaji, utunzaji na matumizi ya miti hiyo.
  • Komakech, C; Nshubemuki, L; Swai, R. L; Kasase, A. S (Ministry of Natural Resources and Tourism - Forestry and Bee keeping Division, United Republic of Tanzania, 2020-11)
    Plantation forestry resources are managed for the production of both timber and non-timber forestry products (NTFPs). The quality of these end-products is determined by both the quality of the germplasm used in the initial ...
  • TANZANIA FORESTRY RESEARCH INSTITUTION (TAFORI) (Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), 2019-06-15)
    Siku ya nyuki duniani ni maalumu kwa ajili ya kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa kutunza viumbe wanaochavusha mimea hususan nyuki, kutambua madhara ambayo yanakabili viumbe hao na kujua mchango wake kwa maendeleo ...
  • Msalilwa, J (Idara ya Biolojia ya Misitu, Sokoine University of Agriculture - SUA, 2013)
    NYUKI NI NINI? Nyuki ni wadudu wadogo wenye uwezo wa kuruka na hutengeneza vyakula vyao wenyewe kutokana na maji matamu yanayopatikana kwenye maua ya miti na ungaunga unaopatikana katika maua. Wadudu hawa wanauwezo wa ...
  • Mutsaers, Marieke; Blitterswijk, Henk van; ’t Leven, Leen van; Kerkvliet, Jaap; Waerdt, Jan van de (CTA, 2010)
    Kitabu kinachoelezea ufugaji nyuki na mazao yanayopatikana kutokana na ufugaji huo na jinsi ya kuyaendeleza hadi kufikia hatua ya uuzaji na kujipatia faida.
  • Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji, utunzaji na matumizi ya miti ya Mgomalizi au Mdodoma
  • TAREA (WORLD AGROFORESTRY CENTRE, 2018-10-09)
    Nishati ya miti (mkaa na kuni) ni aina ya nishati inayotumika zaidi kwenye kupikia na kwenye kuota moto kusini mwa Jangwa la Sahara na hutumika kwenye biashara ndogo ndogo kama migahawa, uokaji, biashara za mamantilie, ...
  • Ngara, Lulenge (Tanzania Educational publishers L.T.D, 2002)
  • Kusolwa, Paul M; Mghembe, E. R; Mwaitulo, S (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme, 2012-03)
    Kilimo ni uti wa mgongo wa mkulima vijijini. Kulingana na kukua kwa familia, kupungua kwa rutuba na mabadiliko ya mahitaji ya wakulima vijijini wakulima wameendelea kufungua mashamba mapya ili kuongeza mavuno na kipato. ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa miti ya mitiki
  • Mkangazi 
    Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa miti ya Mkangazi
  • Mkaratusi 
    Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utuzanji na upandaji wa miti ya mikaratusi
  • Mkongo 
    Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandandaji, utunzaji na matumizi ya miti ya mkongo
  • Malimbwi, Rogers E; Zahabu, Eliakimu; Katani, Josiah; Mugasha, Wilson; Mwembe, Uhuru (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme - CCIAM, 2012-01)
    Upandaji wa miti nchini Tanzania umekuwa ukisisitizwa kwa miongo kadhaa lakini kukubalika kwa shughuli hizi kumekuwa hakuridhishi. Tofauti na watu wa sehemu nyingine za nchi, watu wa Wilaya ya Makete wamehamasika kupanda ...
  • Augustino, S; Makonda, F. B. S; Gillah, P. R; Ishengoma, R. C; Migunga, G. A; Ericksen, S (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme, 2012)
    Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu millioni 20 nchini Tanzania hususan kutoka katika jamii zinazozunguka raslimali za misitu hutegemea Mazao si Timbao kwa ajili ya kuboresha hali ya maisha yao na kipato kazi. Licha ya utegemezi ...
  • Wizara ya Mali asili na Utalii, T (Wizara ya Mali asili na Utalii, 2013-03-13)
    Mwongozo huu ni tafsiri ya toleo la Kiingereza la Mwaka 2012. Mfuko wa Misitu Tanzania umetayarisha Mwongozo wa kuandaa maandiko ya Miradi na Utaratibu wa Kutoa Ruzuku ikiwa ni jitihada ya kuepuka upendeleo, kuwa na uwazi ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account