Ghala la Mkulima

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Inades formation Tanzania (inades formation Tanzania, 1992)
    Tanzania ina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji wanaofugwa kwa mtindo wa huria vijijini na hata mijini. Katika mtindo huu wa ufugaji, kuku huachwa huru mchana kutwa kujitafutia chakula wao wenyewe. Pengine baadhi ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Programu ya Kuendeleza Matumizi ya Matokeo ya Utafiti (Research Into Use – RIU Tanzania) - MUVEK Development Solutions, 2012-01)
    Ndege wafugwao wana nafasi kubwa kuchangia katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini. Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya kaya zote nchini Tanzania hufuga aina moja au nyingine ya ndege, hususani jamii ya ...
  • Mbassa, Gabriel K. (Program ya PANTIL ( Chuo kikuu cha Sokoine), 2009-03-12)
    Katika nchi za Africa mashariki, kati na kusini magonjwa makuu ya mifugo ni yale yanayosababishwa na viini vidogo vya chembechembe vinavyoitwa protozoa ambavyo husambazwa kwa mifugo na aina mbalimbali za kupe na ndorobo. (mbungo)
  • Mugasha, A. G. (Mradi wa uhakika wa chakula na pato la kaya kwa wakulima wadogowadogo Tanzania (TARP II-SUA Project), 2004-08-19)
    Mifugo aina ya ngombe, mbuzi, kondoo na punda wanahitaji vyakula vya aina kuu tano, ili waweze kukua na kutoa maziwa mengi au kufanya kazi mbalimbali.
  • Mwandishi Hajulikani (Department of Agriculture, forestry and Fisheries - South Africa, 2010-07)
    The definition of aquaculture is the farming of aquatic organisms, including fish, mollusks, crustaceans and aquatic plants. Farming implies some sort of intervention in the rearing process to enhance production, such as ...
  • Mwandishi Hajulikani (World Acquaculture, 2016-12)
    Makala inayoelezea ukuaji na mahitaji ya Soko la samaki duniani kupitia uzalishaji unaofanyika Afrika Kusini. Hali hiyo inatoa fursa kwa nchi hiyo kuweza kutumia vizuri mwanya huo kujiendeleza kiuchumi.
  • Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2021)
    Ufugaji wa samaki ni miongoni mwa tasnia inayopewa kipaumbele na jamii mbalimbali hapa nchini, kwa kuwa inatoa fursa za kuongeza kipato, lishe na ajira. Ufugaji wa samaki huweza kufanywa sambamba na kilimo, hususani ...
  • Muhairwa, Amandus P; Msoffe, Peter L; Mtambo, Madundo M. A; Ashimogo, Gaspar (PANTIL, 2008)
    Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa asili katika kuboresha maisha ya wananchi wanaoishi vijijini na mijini.
  • Mkulima Mbunifu Toleo la 7, 2012 (Biovision, 2012-07)
    Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Kuboresha ufugaji wa kuku; Teknolojia rahisi inayoboresha uzalishaji; ...
  • Mwandishi Hajulikani (Animal Care Unit, 2018-06-11)
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Tanzania, 2017)
    Sekta ya mifugo ni muhimu katika kuwezesha wananchi kupata chakula, kipato, wanyama kazi pamoja na samadi kwa ajili ya kurutubisha ardhi na hivyo kuwezesha ustawishaji wa mazao, hususan maeneo ya vijijini na baadhi ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Heifer Project International, 1996)
    Ufugaji wa ngamia unafanywana watu wengi katika mataifambalimbali ulimwenguni kw ajili ya kujipatia maendeleo katika sehemu zilizo na ukame.Ngamia wamekuwa wakisaidia katika shughuli nyingi kama vile kubeba mizigo, kubeba ...
  • VanWormer, E; Ahmed, A; Msigwa, A; Mwanzalila, M; Makweta, A; Komba, E; Kelada, M; Kazwala, R. R (Feed the Future Innovation Lab, 2019)
    Timu ya watafiti wenye ujuzi na taaluma mbalimbali kutoka mradi wa HALI ukishirikiana na wafugaji wanaoishi Kusini-Mashariki mwa Hifadhi ya taifa Ruaha waliweza kutambua na kuorodhesha magonjwa ambayo yanashambulia mifugo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Idara ya Sayansi na Uzalishaji wa Wanyama - SUA, 2017-08)
    Mwongozo mfupi juu ya utengenezaji bora wa hei kwa ajili ya chakula cha ng'ombe.
  • Mwandishi Hajulikani (Idara ya Sayansi na Uzalishaji wa Wanyama - SUA, 2017-08)
    Maelezo mafupi juu ya ulimai na utengenezaji wa majani kwa ajili ya chakula cha mifugo
  • TARP II-SUA Project (Sokoine university of agriculture, 2002)
    Utambuzi yakinifu wa magonjwa ya ndege wafugwao ni mgumu kupita ule wa magonjwa ya mifugo mengine. Hii ni kwa sababu dalili za ugonjwa kwa mnyama hai peke yake hazitoshi kusema ugonjwa usumbuao kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Land O'Lakes INC, 2017)
    Hakuna kitakachorekebisha ubora wa maziwa yakiwa yamesha haribika kwa mfugaji. Kwahiyo utunzaji wa maziwa, usafi na kudhibiti ubora hauna budi kuzingatiwa katika hatua zote za mlolongo wa thamani ya maziwa. Uzalishaji ...
  • Munubi, R. N; Lamtane, H. A; Mwandya, A. W; Madalla, N. A; Chenyambuga, S. W (Idara ya Sayansi za Wanyama, Ukuzaji Viumbe Maji na Nyanda za Malisho, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo., 2020)
    Kitabu hiki cha mwongozo wa ufugaji bora wa samaki kimeandaliwa na kuandikwa na watalaamu wabobezi wa taaluma ya ufugaji wa samaki toka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Morogoro. Kimeandaaliwa ili ...
  • Heifer International Tanzania (Heifer International Tanzania, 2010)
    Mwongozo huu una mada zinazoelekeza ufugaji ulio bora wa kuku wa Asili ikiwemo jinsi ya kutambua ubora wa kuku wanaostahili kufugwa, mifumo mbalimbali itakayoweza kutumika na mapungufu yaliyomo katika ufugaji na jinsi ya ...
  • Makundi, Rhodes H. (SUA, 2009-11-25)
    Rodents are a mysterious group of animals. They are the largest groups of mammals in terms of species and in numbers. Thera are more than 2200 species which have been described to date, making up 42% of the mammal species.

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account