Ghala la Mkulima

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (GALVMed, 2016)
    Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ...
  • Chiwanga, Gaspar H.; Muhairwa, A. (Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2017)
    Kitini kinachoelezeleza kwa ufupi magonjwa na kinga zake kwa maambukizi ya kuku.
  • Laswai, G. H.; Mutayoba, S. K. (SUA, 2002-01-23)
    Balancing feeds for monogastric animals requires reliable information with regard to the nutritional values of the available feed resources. Such information is limited for Tanzanian feedstuffs. In most cases feed formulations ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili - EPINAV, 2012)
    Kipeperushi kinachoelezea ugonjwa wa kiwele
  • Ibrahim, C. (Kilimo Blog, 2019-06-23)
    : Idadi kubwa ya wafugaji hawatilii maanani umuhimu wa nafasi, ukubwa na idadi ya wanyama wanaopaswa kuwa ndani wakati wa ujenzi wa mabanda. Hujenga mabanda madogo kiasi cha kuwanyima uhuru wanyama kuzunguka ndani ...
  • Mwandishi Hajulikani (CENTRAL POULTRY DEVELOPMENT ORGANISATION (SOUTHERN REGION) -India, 1998)
    Ducks occupy an important position next to chicken farming in India. They form about 10% of the total poultry population and contribute about 6-7% of total eggs produced in the country. Ducks are mostly concentrated in the ...
  • Wizara ya Afya, T (Shirika la Afya Duniani, 2017-03-13)
    Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari, na unasababishwa na virusi vinavyojulikana kama Lyssavirus.
  • Magembe, A. (Ukulima wa kisasa, 1993-09)
    Kilimo na ufugaji wa ngombe,mbuzi au kondoo ni shughuli ambazo zina manufaa mengi kwa mkulima,kwani zinategemeana sana.Mkulima ambaye pia ni mfuaji hunufaika zaidi kuliko yule asikuwa na mifugo:na mfugaji naye pia hunufaika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Commission De L'ocean Indien, 2012)
    Uvuvi ni moja ya raslimali muhimu inayoongezeka ambayo nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika zinayo kwa ajili ya usalama wa chakula, maisha ya watu na kukua kwa uchumi. Hata hivyo juhudi zinatakiwa kufanyika kuhakisha ...
  • Mwandishi Hajulikani (MSD Animal Health Research - Holland, 2013)
    The first edition of Intervet’s “Important Poultry Diseases” was in 1972 and still it is one of our most wanted publications. An easy to handle and practical booklet for basic understanding of the most important poultry ...
  • Mwandishi Hajulikani (ALCOM/FAO/SUA, 1984)
    Jarida hili linajumuisha kwa pamoja majarida matatu; Jinsi ya kutengeneza bwawa lako la samaki, Jinsi ya kulisha samaki wako na Jinsi ya kutunza bwawa lako la samaki yaliyotolewa na ALCOM kwa matumizi ya jimbo la mashariki, ...
  • Tarimo, Ronald, B (Sokoine University of Agriculture, 2019-11-23)
    Jifunze ufugaji bora wa sato na kambale. hiki nikitabu kilichoandaliwa na wataalamu wa Samaki kutoka chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) na kutokana na uhaba wa machapisho juu ya uzalishaji na ufugaji wa samaki wataalamu ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-07)
    Napenda kuwaletea somo la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo usiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga ni lazima ...
  • Nyangi, Chacha,J (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2021)
    Tatizo la minyoo Tegu ya nguruwe limetajwa kuwa ni kubwa hali ambayo inawalazimu wataalamu na wanasayansi kufanya utafiti wa kina ili kupata majibu ya tatizo hilo. Wataalamu kutoka sehemu mbalimbali duniani, wamekusanyika ...
  • Mwandishi Hajulikani (EPINAV - SUA, 2013)
    Maziwa ni mojawapo ya vyakula vinavyohitaji uangalizi na usafi wa hall ya juu ili yasiweze kuharibika. Maziwa yanaweza kuharibika au kukosa ubora wake kwa Kama ng'ombe akamuliwaye ni mgonjwa, maziwa kuingia uchafu wakati ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farmer Africa, 2018-12-13)
    Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbani Kuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet). Je, wajua mbwa ni kitega uchumi kwa baadhi ya wanaomfuga? ...
  • Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2017-07-23)
    Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari kwa binadamu na wanyama wafugwa,na waporini. Ugonjwa huu hauna tiba na umeenea sehemu nyingi za Tanzania
  • Mwandishi Hajulikani (Ukulima wa kisasa, 1982-06)
    Kichaa cha mbwa ni ugonjwa wa hatari sana unaoleta vifo kwa binadamu na wanyama.Una dalili zinazoambatana na mishipa ya fahamu ambazo mwanzo huwa ni kuongezeka kwa furaha au hasira,kupoteza fahamu na mwishowe kupooza kwa ...
  • Clifford, Diana; walking, David; Muse, Alex (Amerika ya Kaskazini na mradi wa health for animal and liverhood improvement - Hali, 2011)
    Wanyamapori kwenye hifadhi ya wanyama wako chini ya mbinyo wa matishio mbalimbali kama vile ukame uwindaji haramu ujangili mioto na uharibufu wa makazi yao.Tishio jingine kwa wanyama pori ni ugonjwa.

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account