Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2017-03)
    Kilimo hifadhi kinatoa njia rahisi ambayo wakulima wanaweza kuitumia ili kupambana na athari mbaya za mabadiliko ya tabia nchi na kujifunza kulima mashamba amba kwa kuzingatia “uasilia wake”. Hii inaweza kuhusisha ...
  • Mwandishi Hajulikani (TaCRI, 2007-01-03)
    Mwaka uliopita umekuwa na ongezeko la shughuli katika Idara ya Uboreshaji wa zao la kahawa. Majaribio zaidi yameongezwa, mbegu chotara kuendeleza aina bora zimezalishwa, na watafiti waliokuwa masomoni kwa Shahada ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Biashara Blog, 2018)
    Miparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la “chakula cha mbwa” kwa kuwa mara nyingi yalipodondoka ...
  • Mwandishi Hajulikani (The Tanganyika Law Society - TLS, 2018)
    Tamko la kisheria la Chama cha Wanasheria Tanganyika kuhusiana na mjadala wa kisheria unaoendea katika jamii ya watanzania kuhusiana na tozo ya ushuru wa korosho ghafi zinazouzwa nje ya nchi na wauzaji wa korosho.
  • Tango 
    Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Maelezo juu ya uchaguzi wa mbegu na ulimaji wa matango kwa ajili ya kupata mavuno mengo na kuepuka hasara
  • Tango 
    Bennet (Sokoine university of agriculture, 2023-09-20)
    Hii leo nitaongelea tunda la tango na madhumuni zaidi ni katika kumsaidia mbwa jike kukausha maziwa. Inaweza kutokea mbwa watoto wake wamekua na kuacha kunyonya au watoto wakafariki wakati bado wadogo mara baada ya kuzaliwa, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Tanzania Coffee Board - TCB, 2012)
    Kahawa ni mojawapo ya mazao makuu ya biashara yanayosafirishwa nchi za nje, ikichangia kiasi cha 5% ya mapato ya jumla bidhaa zinazosafirishwa nje, na inazalisha mapato ya wastani wa Dola za Marekeni ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Korosho ni mmea muhimu wenye manufaa ya kifedha katika pwani ya Kenya. Mahitaji ya njugu zilizoandal iwa yanazidi nchini na ngámbo na hii inawapa wakulima fursa ya kujinufaisha kifedha.
  • Kihara, Job (Africa Rising, 2022-10)
    Mbili-Mbili ni mkakati wa kilimo mseto cha nafaka na mikunde unaohusishaupandaji wa mazao matatu yenye ukuaji na mpangilio tofauti shambani. Tekinolojia hii ilitengenezwa kwa mfumo wa utafiti wa Afrika katika uimarishaji ...
  • Global publishers (Global publishers, 2020-01-02)
    KWA miaka nenda rudi, kilimo ndiyo kimekuwa uti wa mgongo kwa watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania.Tangu enzi za mababu zetu, kilimo ndiyo kimekuwa njia ya kuhakikisha kaya zinapata mahitaji muhimu, ...
  • Mwandishi Hajulikani (PANTIL - SUA, 2009)
    Kijitabu hiki kinalenga uzalishaji wa mbegu za muhogo kwa ajili ya kupanua kilimo cha zao la muhogo na pia uzalishaji bora wa muhogo. Vile vile kijitabu hiki kinazungumzia magonjwa mbalimbali yanayoathiri zao la muhogo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Mwongozo wa uchaguzi wa mbegu bora na ulimaji wenye faida wa matikiti maji kwa ajili ya kupata soko la uhakika na mazao bora
  • Shannon, Emroy (NEW-MEXICO STATE UNIVERSITY COOPERATIVE EXTENSION SERVICE., 1971-08)
    Tomatoes are attacked by several disease organisms that reduce both yield and quality. Control of these diseases means the difference between profit and loss. Effective control consists of knowing what diseases you have ...
  • Tumbaku 
    Morris, Philip (Philip Morris International, 2019)
    Tumbaku ndio sehemu kuu ya bidhaa zetu. Aina tatu za tumbaku ni Virginia,burley na mashariki.Tumbaku hizi zinalimwa katika zaidi ya nchi 30 zikiwemo Argentina, Brazili, China, Ugiriki, Italia, Malawi, Msumbiji, Uhispania,Tanzania, ...
  • Mwandishi Hajulikani (TORITA, 2004)
    Tumbaku ni moja ya zao kuu la biashara nchini. Tumbaku huipa nchi pato la kigeni kwa kuuzwa sana nchi za nje. Takwimu zinaonyesha kuwa mauzo nje ya nchi yameongezekwa kwa asilimia 50% kwa mwaka ulioishia 2013 kwa sababu ...
  • Kituo cha utafiti wa kilimo Uyole (Kituo cha utafiti Ilonga, 2011-04)
    Mkulima anapata mavuno kidogo ya mtama kutokana na sababu zifuatazo . Kutotumia mbegu bora na za muda mwafaka za mtama . upungufu wa mvua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa . Kupungua kwa mbolea katika mashamba ya ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo (Tari, 2023)
    Mbegu ya mchikichi ina kokwa gumu ambalo linazuia mbegu kunyonya maji ili iweze kuota. Hali hii husababisha mbegu kuwa na ubwete (seed dormancy) yaani hali ya kushindwa kuota. Hivyo ili uweze kuotesha lazima uvunje ubwete ...
  • Kusolwa, P.M, (Kituo cha utafiti wa kilimo, 2023-11-14)
    Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa kwenye bustani au shambani. Hii ni sehemu mama katika uzalishaji wa miche, na huchukua eneo dogo tu la shamba. Eneo hili ni muhimu kwa ajili ya ...
  • SAGCOT (SAGCOT Centre Limited, 2017)
    Parachichi (Persea americana) ni mti, mrefu unaosemekana asili yake ni Kusini Kati mwa nchi ya Mexico. Tunda la mmea, pia linaitwa parachi (au avocado pear au alligator pear), ni asili ya mmea wa tunda kubwa linalokuwa ...
  • Wambura, R. M; Rutatora, D. F; Shetto, M; Ishumi, O; Oygard, R (TARP II-SUA Project, 2003-12)
    Kilimo ndio tegemeo kubwa na ndicho kinachohusisha idadi kubwa ya watu nchini Tanzania. Hata hivyo matokeo yake bado hayajawa ya kuridhisha kutokana na ukweli kwamba wakulima walio wengi uwezo wao bado ni mdogo kiasi ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account