Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Shirika la Kimataifa la Huduma za Upataji na Utumizi wa kilimo cha Kibayoteki - ISAAA, 2016)
    Huduma ya Kimataifa ya Upataji na Utumizi wa Kilimo cha Kibayoteki huchapisha Marejeleo ya Kimataifa ya Mazao ya Kibayoteki, Kibiashara au maelezo mafupi ya ISAAA. Maelezo mafupi ya 52 ya ISAA ni kati ya mfululizo wa 21 ...
  • wizara ya kilimo (Nuta Press, 1971)
    Kabla ya Tanzania kupata uhuru, serikaii ya kikoloni ilijiingiza sana katika mazao ya biashara na nchi za nje na haikujali sanajuu ya mazao yaliyotumika humu nchini hasa yale ya chakula ambayo wananchi hutumia. Siasa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, 2015)
    Hotuba ya waziri wa kilimo chakula na ushirika mheshimiwa Stephen Masato Wasira (mb) kuhusu makadirio ya matumizi ya fedha ya wizara ya kilimo chakula na ushirika kwa mwaka 2015/2016 kama ilivyowasilishwa Bungeni Dodoma Tanzania.
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 2016)
    Hotuba ya waziri wa kilimo mifugo na uvuvi Mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (MB.) kuhusu makadirio ya matumizi ya fedha ya wizara ya kilimo mifugo na uvuvi kwa mwaka 2016/17 kama yalivyowasilishwa bungeni Dodoma ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 2017)
    Hotuba ya waziri wa kilimo mifugo na uvuvi mheshimiwa, Eng. Dkt. Charles John Tizeba (MB.) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya wizara ya kilimo mifugo na uvuvi kwa mwaka 2017/2018 kama yalivyowasilishwa ...
  • CTA (CTA, 2006-10-27)
    Maize is the most important staple food in Eastern Africa. But yields on smallholder farms are often very low, typically just one quarter of what could be achieved. In a good year, using improved varieties with good ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-09)
    Like other caulifoower varieties, broccofoower is a cole crop and a variety of the species Brassica oleracea. This green caulifoower groows as an annual cool-season vegetable in spring, fall or owinter in all over the ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-09)
    Mangosteen is often known as the queen of tropical trees because it produces some of the most delicious and sweet fruit in the world. Learning how to grow mangosteen fruit is actually pretty easy as long as you have the ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-10)
    Oregano is an herb commonly used in Italian dishes. It is a hearty plant that provides lovely ground cover in addition to its uses in the kitchen. It can be grown both in your home and outside, which means that no matter ...
  • Mwandishi Hajulikani (Monsanto - Kenya Ltd, 2015)
    Tomato Assila F1 ni aina mpya ya nyanya yenye mazao mazuri ambapo kiwango cha mavuni ni kreti 417 za kilo 60 kila moja sawa na tani 25 kwa ekari moja.
  • Mwandishi Hajulikani (Agricultural Council of Tanzania - ACT, 2013)
    Jrida la ACT toleo lililokusanya taarifa juu ya Vyama vya wakulima, Kilimo biashara, Ufufuaji wa zao la korosho na Sera za kilimo.
  • Mwandishi Hajulikani (Canadian Foodgrain Banks - A christian Response to Hunger, 2017)
    Jarida linaloandika makala mbalimbali za kilimo NDANI YA TOLEO HILI kuna makala juu ya Mbolea ya kijani / Mazao funika yakipandwa na mahindi; Mbinu bora na salama za kuhifadhi nafaka; Wasifu wa washirika: Kulima Mbobumi ...
  • Bodi ya korosho Tanzania (Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 2022-12-15)
    Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Brilliantus blog, 2016-10)
    Miaka ya karibuni, utaalamu wa kilimo cha uyoga umeanza hapa Tanzania baada ya watu kutilia maanani lishe bora ya protini na manufaa mengine ya zao hilo. Kwa kuwa uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 2010)
    Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, huslawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 2009)
    Katika kundi la mazao ya mizizi, viazi mviringo ni maarufu na vina umuhimu wa pekec. Ni zao la chakula na biashara katika nchi nyingi zilizocndclca na zinazocndclea. Zao hili ni moja ya mazao manne ya chakula yanayozalishwa ...
  • Ngeze, Pius B. (Tanzania educational publishers Ltd, 2007-07-26)
    Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-01)
    Hydroponic fodder Ni uoteshaji wa mbegu pasipo kutumia udongo kwa muda wa siku 5- 7 tu kilo moja ya mbegu za ngano au mtama au shayiri au Mshindi zinaoteshwa na kumwagiliwa virutubisho maalum (HYDROPONIC NUTRIENTS) na ...
  • KILIMO HAI TANZANIA (Kilimo hai Tanzania, 2018-04-19)
    Soya ni zao jamii ya mikunde ambayo ina baadhi ya sifa za mbegu zinazozalisha mafuta. Zao la soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea.
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2009-12)
    Kujifunza kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ni muhimu kwa wakulima kwa sababu ya athari wanayoweza kuwa nayo kwenye kilimo. Wakulima wanaweza kutarajia kiasi cha joto kilichopanda na dhoruba za mara kwa mara, mafuriko ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account