Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Hifadhi"

Utafutaji Kwa Somo "Hifadhi"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Equator Initiative: Environment and Energy Group - United Nations Development Programme - UNDP, 2012)
    Hifadhi ya Asili ya Amani ilitangazwa kisheria na Serikali ya Tanzania katika gazeti la serikali mwaka 1997, ikiwa na lengo la kuihifadhi bayoanuwai ya Milima ya Usamabara Mashariki. Safu ya Mashariki ya Milima ya ...
  • Gilla, Alli (Inades Formation Tanzania, 1993)
    Kwa muda mrefu wazee wetu wamekuwa wakitegemea kilimo. Mahitaji yao yote yamekuwa yakitokana na mashamba yao na misitu. Hawakuwa na shida kubwa ya chakula au kuni Leo hii mabadiliko mengi yametokea. Watu wameongezeka ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania - MJUMITA na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2015-06)
    Misitu ni rasilimali muhimu sana ambayo nchi yetu imejaliwa. Inakadiriwa Tanzania ina misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 48.1 ambayo ni sawa na asilimia 38 ya eneo lote la ardhi ya nchi yetu. Misitu hii hata ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Tanzania, 2014)
    Wakulima wengi Tanzania wanapata hasara kubwa inayosababishwa na wadudu waharibifu wa mazao yanapohifadhiwa kwenye maghala. Uharibifu huu unatishia uhakika wa chakula kwa kaya. Kaya zingine zina uwezo wa kununua madawa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Warehouse Receipts Regulatory Board, 2000)
    Mfumo wa Stakabadhi za Maghala ni mfumo unaotumika nchini wa kutumia bidhaa zilizohifadhiwa kwenye maghala badala ya mali zisizohamishika kuwa dhamana ya kupata mikopo kutoka asasi za fedha. Mfumo kama huu pia unatekelezwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2021-12)
    Jarida la wakulima ambalo linatoa makala mbalimbali za kusaidiwa wakulima toleo hili lina makala juu ya ulaji wa matunda, kirutubisho cha EMAS, Malisho ya nguruwe, Uoteshaji wa majani ya malisho kwa mifugo, Ufugaji wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Economic and Social Research Foundation - ESRF, 2017)
    Mradi Huu unatekelezwa kwa ushirikiano wa Halmashauri za Wilaya Sita, Jeshi la Kujenga Taifa Na Vikundi vya Akina Mama Na Vijana. Unasimamiwa na Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Na Kufadhiliwa Na Shirika ...
  • Kitinoja, L; Kader, A. A (Kituo cha Utafiti na Habari za Tekinolojia za Baada ya Kuvuna, Chuo Kikuu cha California, Davis, 2003)
    Licha ya kutumia kiwango cha kisasa cha teknolojia husika, utunzaji fanisi baada ya kuvuna ni jambo muhimu katika kufikia lengo linalokusudiwa. Wakati wazalishaji wa kiwango kikubwa wananufaika kwa utumiaji wa tekinolojia ...
  • Mwandishi Hajulikani (Idara ya Usalama wa Chakula - Wizara ya Kilimo na Chakula, 2014)
    Mwongozo huu unatoa malekezo kwa bwanashamba juu ya uhifadhi na matumizi ya chakula kwa kila kaya ili kuepuka njaa pamoja na matumizi mazuri ya mazao yanayolimwa katika familia husika.
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
    Nafaka ni mazao makuu ya chakula ambayo hutumiwa na watanzania wote waishio mijini na vijijini. Nafaka zinaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu kuliko mazao mengine ya chakula na mara nyingi nafaka huzalishwa mara moja au mbili ...
  • Makundi, R. H; Misangu, R. N; Reuben, S. O. W. M; Kilonzo, B. M; Ishengoma, C. G; Lyimo, H; Mwatawala, M (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2005-01)
    Hifadhi bora ya mazao inahakikisha familia inakuwa na chakula cha kutosheleza mwaka mzima. Pia mazao yanaweza kuuzwa wakati wowote ili kuongeza kipato. Mradi wa hifadhi bora ya mazao na udhibiti wa viumbe waharibifu ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
    Ukadiriaji wa mahitaji ya chakula katika kaya ni muhimu ili kufahamu kiasi cha chakula kwa ajili ya kuhifadhi kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Benjamin William Mkapa ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (2008)
    Asilimia 80 ya mahindi yanayovunwa nchini Kenya huhifadhiwa kwenye ghala za nyumbani. Kati ya asilimai 20 hadi 30 ya mavuno hupotea katika miezi 6 iwapo hakuna hatua za kuzuia zinazochukuliwa. Hasara kubwa ni kutokana ...
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium - ASHC, 2005)
    Chapisho linatolotoa wa muhtasari wa kadi zenye maelezo juu ya wadodo waharibifu ikiwemo Vipekecha shina wa mahindi - Busseola fusca; Chilo and Sesamia species; Osama - Prostephanus truncatus; Funza wa vitumba vya pamba - ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account