Kwa ufupi:
Mradi Huu unatekelezwa kwa ushirikiano wa Halmashauri za Wilaya Sita, Jeshi la
Kujenga Taifa Na Vikundi vya Akina Mama Na Vijana. Unasimamiwa na Taasisi ya Tafiti
za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Na Kufadhiliwa Na Shirika la Maendeleo la Umoja Wa
Mataifa (UNDP/UNEP) na Serikali ya Tanzania. Miradi hiyo ni ya Kujenga uwezo wa wananchi katika kupambana na umaskini na kuhifadhi mazingira kupitia:
• Kilimo bora kinachotumia technolojia ya kisasa (Smart Farming)
• Ufugaji wa Samaki
• Ufugaji wa Nyuki
• Biogas na
• Kujenga uwezo wa wanawake na vijana.