Mwandishi Hajulikani(Wizara ya Nishati na Madini, Tanzania, 2010-11)
Katika miaka ya karibuni, uendelezaji wa biofueli umekuwa ni agenda ya kawaida
duniani kote. Fueli zimiminikazo ambazo zinatokana na tungamotaka zinathibitisha
kuwa mbadala wa fueli za fosili hususani bidhaa za petroli ...
Mwandishi Hajulikani(Farm Radio International, 2014-09)
Zao la muhogo limekuwa likifanyiwa biashara katika miji mbalimbali hapa Tanzania. Wanawake wafanya biashara wadogo wadogo wamekuwa wakiuza mihogo katika viunga mbalimbali vya miji katika foleni za magari na pia idadi ya ...
Kitinoja, L; Kader, A. A(Kituo cha Utafiti na Habari za Tekinolojia za Baada ya Kuvuna, Chuo Kikuu cha California, Davis, 2003)
Licha ya kutumia kiwango cha kisasa cha teknolojia husika, utunzaji fanisi baada ya kuvuna ni jambo muhimu katika kufikia lengo linalokusudiwa. Wakati wazalishaji wa kiwango kikubwa wananufaika kwa utumiaji wa tekinolojia ...
Mwandishi Hajulikani(Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2011)
Mwongozo huu unaeleza mambo ya msingi katika kuandaa vyakula vya kuku wa rika tofauti. Kama mifugo wengine, kuku wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika na mwili kama wanga, protini, Madini, ...
Mwandishi Hajulikani(Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
Aina nyingi za mafuta ya kula yanayotumika hapa nchini hutokana na mazao ya mbegu
za mafuta, mbata na michikichi. Mafuta hupatikana baada ya kusindika mbegu au
mbata. Mafuta hutumika kama kiungo muhimu katika mapishi ...
Mwandishi Hajulikani(Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
Mihogo, viazi vitamu na viazi mviringo ni mazao muhimu ya mizizi nchini Tanzania. Mazao hayo ni chanzo cha virutubishi mbalimbali hususan wanga, vitamini A (viazi vitamu vya rangi ya karoti), vitamini B na protini (majani ...
Mwandishi Hajulikani(Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
Mboga na matunda ni tegemeo la binadamu katika kupata vitamini na madini mbali mbali yanayohitajika kuujenga na kuulinda mwili kila siku. Mazao haya ni ya msimu kwa maana kwamba kuna vipindi yanapatikana katika hali ya ...
Mwandishi Hajulikani(Wizara ya Kilimo na Chakula, Idara ya usalama wa chakula., 2003)
Nafaka ni mazao makuu ya chakula ambayo hutumiwa na watanzania wote waishio mijini na vijijini. Nafaka zinaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu kuliko mazao mengine ya chakula na mara nyingi nafaka huzalishwa mara moja au mbili ...
Tiisekwa, B. P. M; Ndibakunze, B. K; Suleiman, R; Tiisekwa, A. B(Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2011-02)
Matunda na mbogamboga ni mazao muhimu katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, kama yalivyo muhimu katika ulimwengu wote. Mazao haya ni chanzo cha vitamini, madini, antioxidants, kambakamba za chakula and wanga ambayo ni ...