Ghala la Mkulima

UtafutajiMifugo na Uvuvi Kwa Somo "Magonjwa"

UtafutajiMifugo na Uvuvi Kwa Somo "Magonjwa"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (GALVMed, 2016)
    Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ...
  • Chiwanga, Gaspar H.; Muhairwa, A. (Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2017)
    Kitini kinachoelezeleza kwa ufupi magonjwa na kinga zake kwa maambukizi ya kuku.
  • Mwandishi Hajulikani (Programu ya Kuendeleza Matumizi ya Matokeo ya Utafiti (Research Into Use – RIU Tanzania) - MUVEK Development Solutions, 2012-01)
    Ndege wafugwao wana nafasi kubwa kuchangia katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini. Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya kaya zote nchini Tanzania hufuga aina moja au nyingine ya ndege, hususani jamii ya ...
  • VanWormer, E; Ahmed, A; Msigwa, A; Mwanzalila, M; Makweta, A; Komba, E; Kelada, M; Kazwala, R. R (Feed the Future Innovation Lab, 2019)
    Timu ya watafiti wenye ujuzi na taaluma mbalimbali kutoka mradi wa HALI ukishirikiana na wafugaji wanaoishi Kusini-Mashariki mwa Hifadhi ya taifa Ruaha waliweza kutambua na kuorodhesha magonjwa ambayo yanashambulia mifugo ...
  • TARP II-SUA Project (Sokoine university of agriculture, 2002)
    Utambuzi yakinifu wa magonjwa ya ndege wafugwao ni mgumu kupita ule wa magonjwa ya mifugo mengine. Hii ni kwa sababu dalili za ugonjwa kwa mnyama hai peke yake hazitoshi kusema ugonjwa usumbuao kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food and Agricultural Organization - FAO, 2006)
    Kwa karne nyingi wafugaji wamekuwa wakimudu mifugo yao na nyanda za malisho kwa kuhamahama kufuatana na majira, wakitunza maeneo ya malisho kwa msimu wa kiangazi, wakihifadhi aina fulani fulani za miti, na kujiepusha na ...
  • Mbassa, G. K; Mgongo, F. O. K; Luziga, C; Kashoma, I. P. B; Kipanyula, M. J (PANTIL - SUA, 2009)
    Katika nchi za Afrika ya Mashariki, Kati na Kusini magonjwa makuu ya mifugo ni yale yanayosababishwa na viini vidogo vya' chembechembe moja vinavyoitwa Protozoa, ambavyo husambazwa kwa wanyama na aina mbalimbali za kupe ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account