Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Shubrook, Nicola (Shirika la chakula duniani, 2022-11-04)
    Viazi vitamu (Ipomoea batatas) ni mboga ya mizizi yenye wanga, yenye ladha tamu. Ngozi yake ya nje ni nyembamba na kahawia na nyama yake ina rangi angavu, mara nyingi rangi ya machungwa, lakini pia nyeupe, zambarau au ...
  • Lyimo-Macha, J. G; Batamuzi, E. K (TARP II Project - SUA, 2002)
    Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili zilizofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba na Novemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Kilosa, K ...
  • Stathers, T; Bechoff, A; Sindi, K; Low, J; Ndyetabula, D (International Potato Center, Nairobi Kenya, 2013-06)
    Katika mwongo uliopita, hamasa kuhusu viazi vitamu barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara imekuwa ikiongezeka. Vilevile, idadi ya miradi itumiayo viazi vitamu pamoja na mahitaji ya mafunzo kwa watendaji wa maendeleo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium, 2019)
    Vikongomwa ni wadudu hatari sana wa migomba duniani kote. Idadi ya vikongomwa inaweza kupunguzwa kwa kutumia vipanzi safi, kuharibu mabaki ya mimea na kutumia mwarobaini; Hata hivyo, kuhamia kwa vikongomwa kutoka kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium - ASHC, 2015)
    Mkusanyiko wa muhtasari wa kadi hizi ni toleo la Africa Soil Health Consortium (ASHC), inayoratibiwa na CABI. Unaoonesha picha na maelezo ya wadudu waharibifu wa mazao mbalimbali hasa jamii ya mikunde.
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium - ASHC, 2015-08)
    Mwongozo huu una lengo la kutoa habari wazi zinazowezesha kuchukua hatua juu ya wadudu na magonjwa muhimu zaidi yanayoathiri mazao muhimu ya chakula yanayokuzwa na wakulima wadogo barani Afrika. Kwa kila mdudu au ugonjwa, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium - ASHC, 2005)
    Chapisho linatolotoa wa muhtasari wa kadi zenye maelezo juu ya wadodo waharibifu ikiwemo Vipekecha shina wa mahindi - Busseola fusca; Chilo and Sesamia species; Osama - Prostephanus truncatus; Funza wa vitumba vya pamba - ...
  • Chidege, M (Tropical Pesticides Research Institute - TPRI, 2017)
    Wasilisho la kitaalamu lililotolewa 2017 na Taasisi ya Utafiti wa Madawa ya kilimo - TPRI juu ya Wadudu Vamizi, ikiwa ni jitihada za TPRI katika kuongeza uelewa na namna ya kuwadhibiti nchini Tanzania. Wadudu hao ni ...
  • Mwandishi Hajulikani (ICIPE, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea wadudu na utitiri ambao unaathiri zao la nyanya pamoja na aina za hao wadudu na jinsi ya kuwathibiti.
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-11)
    Ili uweze kubaini mapema uwepo wa wadudu waharibifu au magonjwa katika mimiea yako ya nyanya ni lazima uwe unachunguza mimea yako mara kwa mara. Angalia uwepo wa wadudu kwenye sehemu ya chini ya majani, juu yake, kwenye ...
  • Wyss, Eric (Tanzania Organic Agriculture Movement - TOAM, 2009)
    Kwa mtazamo wa kiekolojia, viumbe wote ni sehemu ya mfumo asilia bila kujali vinafanya nini. Kwa mkulima, viumbe vyote ambavyo hupunguza mavuno ya mazao yake huchukuliwa kuwa ni wadudu waharibifu, magonjwa ...
  • Wetzels, Hans (Shirika la Kilimo Duniani (FAO), 2021-06-04)
    Mamlaka ya eneo la Afrika Mashariki imeanza kupendekeza ukuzaji wa mazao ya biashara kama parachichi na kahawa ili kuongeza mauzo ya nje ya Kenya kwa Umoja wa Ulaya na Uchina. Wakati huo huo, wakulima wa ndani wanajipanga ...
  • wizara ya kilimo (Sokoine university of agriculture, 2023-12-01)
    Wakulima wa pamba ni wadau wakuu katika sekta ndogo ya pamba huku mchango wao ndio unaotegemewa zaidi kuiinua tasnia ya pamba. Pamba inalimwa na wakulima wadogo wenye mashamba ya ukubwa wa kuanzia ekari 1 hadi ekari 10.Sehemu ...
  • Bakari, A (TARP II-SUA Project, 2002)
    Chapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarishaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa mazao na wafugaji. Warsha ilifanyikakatika Kituo cha Don Bosco Mjini ...
  • Bakari, A. M (TARP II-SUA Project, 2002)
    Chapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarlshaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa ma.zao na wafugaji. Warsha ilifanyikakatika Kituo eha Don Bosco Mjini ...
  • Mwalyego, F. S; Myoya, T; Kabungo, D; Mussei, A; Kayeke, J; Ndegeulaya, D; Mgaya, E (Sokoine University of Agriculture - TARP II Project, 2003)
    Research and promotion of Integrated Disease Management (10M) options for Rice Yellow Mottle Virus (RYMV) disease in Kyela district is among the projects being implemented under the project Food Security and Household ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-11-02)
    Kiungo maarufu katika sehemu nyingi za dunia, giligilani ni shujaa asiyejulikana wa vyakula vya Kihindi. Na sasa mpishi mmoja anataka kukifufua, akiipa giligilani "utukufu unaostahili". Ukichunguza ndani ya viboksi vyovyote ...
  • Mtanzania Digital; Patricia, Kimelemeta (Mtanzania Digital, 2017)
    Shayiri ni zao la nafaka, linalotokana na nyasi zikuazo kwa mwaka‘Hardeum vulgare’ shayiri hutumika hasa kulishia mifugo huku kiasi kidogo kikitumika kutengenezea vileo(Bia na vinywaji vingine) na kwenye chakula chenye nguvu
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-11-25)
    Tangawizi ni nini? Tangawizi ni ya familia moja kama manjano na iliki. Asili ya Asia ya Kusini-Mashariki, India na China, tangawizi ni sehemu ya lishe ya eneo hili na inathaminiwa kwa harufu yake, upishi na dawa. Ingawa ...
  • Lyimo-Macha, R. E; Malimbwi, R. E; Kiranga, E; Kawamala, P (TARP II-SUA Project, 2004-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account