Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Changia Maendeleo Mafia - CHAMAMA, 1994-08)
    Hotuba hii imetolewa tarehe 1 Agosti 1994 Lizu Hotel, Kilindoni, Mafia na Professor Patricia Caplan, BA, MA, Ph.D.Goldsmiths College, University of London ambaye alisema Naona nimepewa heshima kubwa kuweza kupata nafasi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kikundi cha Maarifa ya Ujifunzaji, Kanda ya Afrika - Benki ya Dunia, 2004)
    Mwaka 1996 tulibuni dira kwa ajili ya Benki ya Dunia kuwa Benki ya Maarifa inayotoa mawazo na hali kadhalika rasilimali za kifedha. Kwenye Mkutano wa Kwanza wa Maarifa ya Dunia mjini Toronto mwaka 1997, viongozi wa kisiasa ...
  • Shubrook, Nicola (Shirika la chakula duniani, 2022-11-11)
    Chungwa ni tunda la mchungwa. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck kwenye familia ya Rutaceae. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Plant Genetic Resources Institute - IPGRI, 2003)
    Descriptors for Rambutan (Nephelium lappaceum) were developed by Drs Salma Idris, Felipe S. dela Cruz, Songpol Somsri and Bhag Mal. Dr Bhag Mal coordinated the development of this descriptor list. A draft version prepared ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2000)
    Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake. Hulimwa nyanda za baridi kwa wingi sana. Nyanda zenye joto vitunguu hulimwa pia. Tanzania vitunguu hulimwa sana sehemu za Mang’ula, Mgeta na Singida. Hata ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2017-04)
    Batobato (CMVD) ni ugonjwa mkali na uliosambaa zaidi katika nchi za Africa kusini mwa Jagwa la Sahara. Mihogo iliyoathiriwa na Batobato inazalisha mihogo kidogo au haizai kabisa kulingana na ukithiri wa ugonjwa na umri ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2016)
    Mboga ni mmea au sehemu yoyote ya mmea inayoweza kuliwa na binadamu ambayo haina sukari kama matunda. Mboga huweza kuliwa zikiwa zimepikwa na mara nyingi huwekewa chumvi ili kuongeza ladha na pia huweza kuliwa zikiwa mbichi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2014)
    Ndizi ni zao linalolimwa katika ukanda wa tropiki na hutumika kwa ajili ya kupikia na kama matunda. Vilevile ndizi huweza kutengenezea starch, chips, pombe (mbege), ama kukaushwa na kuuzwa kama matunda yaliyokaushwa. Wakati ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bostani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2017)
    Mahindi ni lishe maarufu na muhimu kuliko zote Africa-jangwa la sahara, ni chakula kikuu kwa zaidi ya asilimia hamsini ya watu. Mahindi yana virutubisho vingi kama vile Wanga, Vitamini B, Protini, madini chuma na mengineyo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane, 2012)
    Nyanya ni zao ambalo hulimwa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mengi duniani kote. Asili yake ni kutoka Amerika ya kusini na kati. Nyanya ni miongoni mwa mazao jamii ya mboga mboga ambazo hulimwa na wakulima wengi. Tunda ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2017)
    Upandaji wa mazao kwa nafasi huyawezesha kukua kwa afya nzuri na hatimaye kutoa mazao ya kutosha. Miti ama mbogamboga ikisongamana sana haiwezi kukua vizuri na hutoa mazao kidogo, pia magonjwa huishambulia kwa wingi na kiurahisi.
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea magonjwa na wadudu mbalimbali ambao wanaathiri mikorosho na uzalishaji wake kabla na baada ya mavuno.
  • Inades Formation Tnzania (Sokoine university of agriculture, 1994)
    Karanga ni moja ya mazao ambayo yana kiasi kikubwa cha mafuta hadi kufikia asilimia 30.Punje ya karanga pia ina kiasi kikubwa cha protini hadi kufikia asilimia 44.Hivyo karanga zinaweza kutoa hivi viini lishe mbalimbali.Faida ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mradi wa Utafiti wa Maharage, Idara ya Mimea Vipando - SUA, 2014)
    Kipeperushi kinachoelezea utafiti juu ya maharage aina ya Mshindi ikiwemo sifa za mbegu hiyo, upandaji, matumizi ya mbolea uthibiti wa magugu, uvunaji na usafirishaji.
  • Mwandishi Hajulikani (SUA, 2017)
    Maelezo juu ya maharage aina ya SUA90 yaliyozalishwa SUA
  • Mwandishi Hajulikani (Idara ya Sayansi za mimea na bustani - SUA, 2017)
    Kipeperushi chenye maelezo ya mdudu Bungua anavyoathiri maharage
  • Wakala wa vyuo vya mafunzo ya mifugo (Rita, 2023)
    Malisho ni eneo la ardhi ambapo wanyama huchungwa.Kawaida wanyama hula nyasi katika eneo la malisho. Kuna aina kuu mbili za malisho nano ni (a) Malisho ya asili (b) Malisho ya kupandwa Malisho ya asili ni ...
  • Idara ya malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2016)
    Malisho ni chakula cha msingi cha mifugo kinachojumuisha aina mbalimbali za nyasi na mikunde. Utunzaji wa malisho ni muhimu ili kuhakikisha kwamba mifugo inapata chakula bora na cha kutosha wakati wote. Ukuaji na ustawi ...
  • Dicsbalis, Yan (Permanent Agriculture Resources, 2011-02)
    Mangosteen is primarily consumed as a fresh fruit. The fruit is common delicacy and often referred to as the “Queen of Fruit” in Southeast Asia. The volume of production in Thailand is increasing and fruit is now being ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Fedha na Mipango - Tanzania, 2016-01)
    Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17 yanalenga kutekeleza Mpango Elekezi wa Miaka 15 (2011/12 – 2025/26) na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. Mapendekezo haya ni msingi wa kuandaa Mpango wa Maendeleo ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account