Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Mwongozo wa kitaalamu wa jinsi ya kuchagua na kulima kabichi kwa ajili ya kupata mavuno mengi na ustahamilivu wa magonjwa
  • Mwandishi Hajulikani (Mamlaka ya Pamba Tanzania, 2018)
    Kalenda inayoonesha juu muda wa kuanza kutaarisha mashamba nakulima kilimo cha pamba kwa mikoa ya Kanda ya Magharibi pamoja na Iringa na Manyara.
  • Mwandishi Hajulikani (Mogriculture.com, 2017)
    Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mogriculture TZ, 2018-03)
    Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, ...
  • National Coconut Development Programme (Dar Es Salaam University Press, 1992)
    Ili kupata mnazi ulio bora mkulima ni lazima awe muangalifu wakati wa kupanda. Mche uliopandwa vibaya huchelewa kukua na hata wakati mwingine hufa. Mazingira kama vile aina ya udongo, kiasi cha mvua, joto, na mwinuko lazima ...
  • Mwandishi Hajulikani (Support to Agricultural Research for Development of Strategic Crops in Africa - SARD-SC, 2015)
    Muhogo ni zao linaoongoza kwa kulimwa sana kwa nchi za ukanda wa jangwa la Sahara. Katika nchi hizi, zao la muhogo limeendelea kuwa zao la kitamaduni kwakuwa limekosa msaada wa kutambulika au kuwekewa mkazo zaidi na ...
  • Karanga 
    wizara ya kilimo (Sokoine university of agriculture, 1987)
    Karanga ni zao zuri sana ambalo hutumika kama chakula na mafuta pia,karanga hupandwa sehemu tofauti nchini Tanzania.karanga hupandwa kwa kufuata kanuni zifuatazo kabla ya kupanda, chagua mbegu ambazo hazishambuliwi na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Mwongozo wa ulimaji wa karoti kwa ajili ya mavuno mengi na ustahamilivu wa magonjwa.
  • Mwandishi Hajulikani (Frebu Poultry Farm Blog, 2015-12)
    Hapo kale, kiazi sukari kilikuwa kinatumika kama dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa mbalimbali kama kuvimbiwa, majeraha pamoja na matatizo ya ngozi (ilikuwa ikitumika mizizi) AINA ZA BITIRUTI (BEETROOT) Kuna aina mbalimbali ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ackyshine.com, 2016)
    Pilipili hoho ni zao la jamii ya pilipili isiyo kali, tunda lake ni nene kiasi la duara pia linaweza kuwa lililochongoka. Pilipili hoho hutumika katika kutengeneza rangi za asili za vyakula ambazo kwa sasa hupendwa zaidi ...
  • Lasway, O. J (Green Agriculture Skills, 2016-05)
    Tangawizi ni moja kati ya aina za mazao ya viungo ambayo sehemu inayotumika ni tunguu (rhizome). Zao hili kwa lugha ya kigeni linafahamika kama Zingiber officinale. UDONGO NA KUSTAWI: Zao hili hustawi katika maeneo ...
  • SUA (2023-03-13)
    Njegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia katika maeneo ya ukanda wa juu. Spishi kadhaa za njegere ni:• njegere kubwa (chickpea) • njegere ya kizungu (common pea) ...
  • Mjasiriamali hodari (Mjasiriamali Blog, 2018-12-27)
    Alizeti (Sunflower) ni zao linalolimwa kwa wingi nchini Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na Duniani kote kwa ujumla. Alizetini zao la biashara na hutumika kutengenezea mafuta ya kupikia (Cooking Oil). Wakulima walio wengi ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2016-10)
    Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ...
  • Malekani, Andrew (Sokoine University of Agriculture, 2021-05-12)
    Alizeti hutambulika kitaalamu Kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mjasiriamali hodari, 2018-12-27)
    Alizeti (Sunflower) ni zao linalolimwa kwa wingi nchini Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na Duniani kote kwa ujumla. Alizetini zao la biashara na hutumika kutengenezea mafuta ya kupikia (Cooking Oil). Wakulima walio wengi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Tanzania na kilimo, 2017-10-02)
    Apple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2016-09)
    Asili ya mboga hii ni Afrika ya Kati na ya Mashariki, lakini kwa sasa zao hili limekwisha enea katika sehemu nyingi za kitropiki, kama Visiwa vya Caribbean, Malaysia na Philipines. Urefu wa mmea huwa kati ya meta moja ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2016)
    Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye asili ya Ethipia na Afrika ya magharibi. Kwa sasa zao hili linalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account