Mkulima: Recent submissions

  • IIT, CGIAR (IIT, 2008-06)
    Kunde ni zao jamii ya mikunde. Faida kubwa ya zao hili ni: • Chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. • Mabaki ya mmea wa kunde ni chakula kizuri cha mifugo. • Hurutubisha udongo.
  • covidografia.pt; Dk. Lam (covidografia.pt, 2024-08)
    Turmeric imekuwa ikiibuka ikionekana kila mahali-kama manukato yenye afya ya kawaida katika vitafunio vya kila siku kama popcorn na crackers na kwenye latte zinazostahili Instagram za maziwa ya dhahabu. Lakini manjano ...
  • medicover hospital (Sokoine university of agriculture, 2021-03-11)
    Kiwifruit kwa ujumla hukua mviringo na ni sawa na yai ya kawaida ya kuku. Ngozi yao ina rangi ya caramel, nyuzinyuzi, na kufunikwa na fuzz nyepesi. Licha ya mipako yake ya fuzzy, ngozi ya kiwi ni chakula na tindikali. Ni ...
  • Minja, Lenald (Wauzaji Blog, 2024-08)
    Kilimo cha Pamba hulimwa nchini Tanzania na hukuzwa mikoa mbalimbali na pia pamba ndio hutumika kutengenezea uzi na nguo,mafuta.
  • Mkono, Abdul A. (Green Agriculture is Your Farming friend, 2022-07)
    Ili kupata chakula chenye madini ya kutosha na ya kufana wataalamu hushauri tule matunda na mboga mboga kwa wingi. Na mojawapo ya vyakula hivi ni tunda au mmea aina ya beetroot kama unavyofahamika zaidi kwa kimombo. Beetroot ...
  • Kilimoajira (Kilimoajira, 2018-09)
    Njugu ni mbegu za mmea wa njugu. Mmea huo unapoendelea kusitawi huwa unachanua maua ya manjano ambayo hujichavusha yenyewe.
  • Mtalula, Mohamed (Mogri culture Tanzania, 2023-03)
    Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani. Zao hili lina wapatia watu shughuri za kufanya na hivyo kuwapatia kipato kuanzia kwenye nyanja za uzalishaji ...
  • TUKO (TUKO, 2022-05)
    Unapokula tikitimaji, utafaidi protini, Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium, Carotene, mafuta, nyuzinyuzi (fiber), na madini mengineyo. Pia mwili utapata nguvu za kupambana na maradhi na kukuondoa ...
  • Wizara ya kilimo (Wizara ya kilimo, 2014-01-31)
    Jina la kitalaam ni Curcuma domestica na kwa kiingereza ni turmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera Kilimanjaro, Morogoro naZanzibar.
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Kipeperushi kinazungumzia upandaji wa mikorosho mipya ambappo ni kitendo cha kuanzisha shamba jipya kwa kufuata kanuni za kilimo bora cha mikorosho.Mashamba ya wakulima wengi yana mavuno hafifu, uzaaji mdogo hali iliyotokana ...
  • Mishili, Fulgence J. (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, 2024-02-24)
    Kilimo Biashara ni shughuli za biashara na usimamizi zinazofanywa na makampuni na wazalishaji ambazo hujishughulisha katika utoaji wa pembejeo kwa sekta ya kilimo na ufugaji, kuzalisha mazao, uchakataji, usafirishaji, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sokoine university of agriculture, 2023-11)
    Lakini je! Unajua kuwa maembe mabichi au yasiyokomaa pia yana faida kubwa kiafya? Kachchi kairi au embe mbichi huzaa Vitamini C kama tufaha 35, ndizi 18, ndimu tisa na machungwa matatu, inasema utafit Mbali na vitamini, ...
  • Taasisi ya chakula na lishe (Sokoine university of agriculture, 2022-10-22)
    Chakula dawa ni chakula kilichotengenezwa na kurutubishwa kwa nishati,vitamin na madini.Chakula hiki kimetengenezwa ma mafuta na hakihitaji kuchanganywa na maji.Chakula dawa hutumika katika kutibu utapiamlo kwa sababu ...
  • Tume ya maendeleo ya ushirika. (Tume ya maendeleo ya ushirika., 2023-08-12)
    Tume kupitia Ushirika imefanikiwa kuboresha maisha ya wananchi kupitia shughuli wanazozifanya zinazowaingizia kipato kwa muunganiko wa Ushirika. Kwa mfano, wakulima wameweza kulipwa fedha zao za mazao kwa uharaka baada ya ...
  • Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania, 2023-06)
    Maelfu ya wakulima walionufaika na mpango wa ruzuku ya mbolea kwa msimu wa 2022/2023 wana hadithi ndefu ya kuwasimulia wenzao ambao hawakubahatika kujiunga na mpango huo. Mpango huu wa ruzuku ya mbolea umebuniwa na serikali ...
  • Mamalaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania, 2023-09)
    Katika harakati za kuimarisha kilimo, serikali ya Tanzania mwaka jana ilitenga shilingi bilioni 150 kama ruzuku ya mbolea kwa wakulima kuwasaidia waongeze uzalishaji na kupunguza makali ya bei ya bidhaa hiyo katika soko ...
  • Shirika la kuhifadhi misitu ya asili Tanzania (Shirika la kuhifadhi misitu ya asili Tanzania, 2016-03)
    Ili lengo la mradi la kusaidia vijiji kutekeleza mpango wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu kwa Jamii litimie, Mradi unaendelea kupanua elimu na kusaidia vijiji vingine 2 (Ndole na Magunga) kuanzisha misitu ya Hifadhi ya ...
  • International Livestock Research Institute (International Livestock Research Institute untranslated, 2018-07)
    Sungura na dende huitwa pia mara nyingi mafugo ndogondogo (mini-élevage). Kundi hili pia lina ndani na nyama zingine zinazo kula majani kama vile « Agoutis ». Sungura na dende zinakula majani, matunda na mbegu. Hizo ni ...
  • Wizara ya maliasili na utalii (KIUTA Dar es Salaam - Tanzania, 1998-03)
    Sekta ya ufugaji nyuki Tanzania imeendeshwa bila ya kuwa na sera tangu mwaka 1949 wakati ilipoanzishwa rasmi kama idara katika Wizara ya Kilimo. Tangu wakati huo, mwongozo wa kuendeleza na kusimamia rasilimali za nyuki na ...
  • Wakala wa misitu Tanzania (Wakala wa misitu Tanzania, 2019-05-02)
    Karne mbili zilizopita, ufugaji wa nyuki kibiashara ulianza baada ya kuibuka kwa teknolojia za kukabiliana na wadudu hao na kupanuka kwa soko la asali na mazao yake ikiwamo nta inayotumika viwandani. Licha ya kuwa na zaidi ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account