Kwa ufupi:
Unapokula tikitimaji, utafaidi protini, Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium, Carotene, mafuta, nyuzinyuzi (fiber), na madini mengineyo. Pia mwili utapata nguvu za kupambana na maradhi na kukuondoa katika hali hatari. Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/367173-faida-10-za-kiafya-zinazopatikana-katika-ulaji-wa-tikitimaji.html