Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Ufugaji"

Utafutaji Kwa Somo "Ufugaji"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili - EPINAV, 2012)
    Kipeperushi kinachoelezea ugonjwa wa kiwele
  • Mwandishi Hajulikani (ALCOM/FAO/SUA, 1984)
    Jarida hili linajumuisha kwa pamoja majarida matatu; Jinsi ya kutengeneza bwawa lako la samaki, Jinsi ya kulisha samaki wako na Jinsi ya kutunza bwawa lako la samaki yaliyotolewa na ALCOM kwa matumizi ya jimbo la mashariki, ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-07)
    Napenda kuwaletea somo la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo usiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga ni lazima ...
  • Mwandishi Hajulikani (EPINAV - SUA, 2013)
    Maziwa ni mojawapo ya vyakula vinavyohitaji uangalizi na usafi wa hall ya juu ili yasiweze kuharibika. Maziwa yanaweza kuharibika au kukosa ubora wake kwa Kama ng'ombe akamuliwaye ni mgonjwa, maziwa kuingia uchafu wakati ...
  • Mwandishi Hajulikani (Shirika la kuhufdhi misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2017)
    Moja ya matarajio makubwa ya mradi huu wa AVA ni kusadia jamii kuibua miradi ya maendeleo mbayo ni rafiki wa misitu na mazingira. Hivyo mojawapo ya miradi iliyoibuliwa na wanakijiji wa Halmashauri ya Mvomero, Morogoro ni ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF), 2009)
    Mwongozo huu umeandaliwa ili kusaidia jamii na watunga sera katika ngazi ya jamii na kitaifa kufanya maamuzi na uchaguzi sahihi kuhusu matumizi ya ardhi, biashara, na sera za kitaifa kwa maeneo ya wafugaji, hasa nyika za ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Club - Pawaga, Iringa Tanzania, 2017-04)
    KILIMO CLUB PAWAGA ni club iliyoanzishwa tarafa ya pawaga ikiwa na malengo mbalimbali kwaajili ya kuwaletea tija wananchi waishio.tarafa ya pawaga kwa huduma zitakazokuwa zinatolewa na club hiyo, kilimo club pawaga itakuwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelhood Development Company - RLDC, 2008)
    Kwa kawaida au katika hali halisi, kazi ya kulea vifaranga hufanywa kuku mwenyewe. Hivyo ili kulea vifaranga, mfugaji ni lazima aige kuku anavyofanya. Ikumbukwe kuwa vifaranga husumbuliwa zaidi na hali mbaya ya hewa, ...
  • Inades-formation, Tanzania (INADES-FORMATION, 1987-11-13)
    Kijitabu kidogo hiki kina mambo ya msingi. Yafaa ukisome kabla hujaanza kujifunza. Kinaelekeza mambo muhimu matano: Masomo haya yatamsaidia na kumfaidi nani?, Zipo faida gani katika kujifunza?, Yakupasayo kujua juu ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (PANTIL - SUA, 2013)
    Swali hili ni kubwa, na pengine zito kuliko maswali vote ambayo mkulima amekuwa akijiuliza. Ni njia ipi bora kutumia kupandisha mfugo? Je atumike dume anayefugwa na mfugaji moja kwa moja au itumike teknolojia ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo - ILRI, 2016)
    Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha ...
  • Inades formation Tanzania (inades formation Tanzania, 1992)
    Tanzania ina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji wanaofugwa kwa mtindo wa huria vijijini na hata mijini. Katika mtindo huu wa ufugaji, kuku huachwa huru mchana kutwa kujitafutia chakula wao wenyewe. Pengine baadhi ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (World Acquaculture, 2016-12)
    Makala inayoelezea ukuaji na mahitaji ya Soko la samaki duniani kupitia uzalishaji unaofanyika Afrika Kusini. Hali hiyo inatoa fursa kwa nchi hiyo kuweza kutumia vizuri mwanya huo kujiendeleza kiuchumi.
  • Mutsaers, Marieke; Blitterswijk, Henk van; ’t Leven, Leen van; Kerkvliet, Jaap; Waerdt, Jan van de (CTA, 2010)
    Kitabu kinachoelezea ufugaji nyuki na mazao yanayopatikana kutokana na ufugaji huo na jinsi ya kuyaendeleza hadi kufikia hatua ya uuzaji na kujipatia faida.
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo, Mufugo na Uvuvi - Tanzania, 2017-05)
    Sekta ya kilimo inategemewa kama nguzo muhimu ya uchumi nchini Tanzania. Hii sekta inajumuisha uzalishaji wa mazao, mifugo na uvuvi na inatoa ajira kwa zaidi ya asilimia 65 ya Watanzania; na huchangia takribani asilimia ...
  • Muhairwa, Amandus P; Msoffe, Peter L; Mtambo, Madundo M. A; Ashimogo, Gaspar (PANTIL, 2008)
    Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa asili katika kuboresha maisha ya wananchi wanaoishi vijijini na mijini.
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2016)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala zifuatazo: Fahamu matatizo yanayoweza kumpata ng’ombe anapozaa; Kemikali huingia mwilini kwa njia mbalimbali; Mambo muhimu ya kuzingatia katika kulea ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2012)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki katika toleo hili kuna makala juu ya: Matunzo huleta mafanikio - Ngo'mbe wa maziwa; Panda miti kwa ajili ya mazingira na uchumi; Vitalu vya miti dhahabu iliyofichika; Nyanya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2015)
    Jarida la Mkulima Mbunifu toleo na. 32, 2015
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2022-01)
    Toleo hili lina makala kuhusiana na Kanuni za kilimo hai na mazingira, Matumizi bora ya ardhi - Ekari moja ya ardhi iliyopangiliwa huimarisha uchumi wa familia, Uchafu husababisha magonjwa ya ngozi kwa mifugo, Matumizi ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account