xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ricc, Silvia
dc.contributor.author Mwasenga, Scola
dc.contributor.author Nyenza, Oscar
dc.contributor.author Mtonda, Shabani
dc.contributor.author Kadinda, Hans
dc.contributor.author Nyenga, Pima
dc.date.accessioned 2023-08-25T08:59:55Z
dc.date.available 2023-08-25T08:59:55Z
dc.date.issued 2012
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/707
dc.description.abstract Bonde la Mto Kilombero ni eneo tajiri na lina rutuba tele. Rutuba na wingi wa maji unatokana na kuwa jirani na Misitu ya Milima ya Udzungwa.Mazao makuu katika bonde hili ni miwa, mpunga, mahindi, matunda na mbogamboga.Asilimia kubwa ya ardhi yenye rutuba inalimwa kilimo cha aina moja cha miwa na mashamba ya mpunga. Kwa sababu hii, watu wanalaumu kuwa kuna ukosefu wa ardhi ya kulima mazao mengine, fursa ya kuongeza aina mbalimbali za mazao pamoja na kupanda miti.Licha ya kulima mashamba makubwa ya kilimo cha aina moja, watu wengi wa bonde hili bado wanategemea nishati kuni kwa ajili ya kupikia. Kwa kuwa wananchi wamekatazwa kuingia katika Msitu wa Milima ya Udzungwa, jamii inalazimika kukata miti iliyopo vijijini na misitu jirani kama vile Msitu wa Magombera. Hali hii inachangia uharibifu wa misitu na mazingira kwa ujumla. en_US
dc.description.sponsorship Servizio Attività Internazionali - Provincia Autonoma di Trento Otto per mille - Waldesian Church en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Kilimo cha mstari en_US
dc.subject Kilimo endelevu en_US
dc.subject Kilimo mseto en_US
dc.subject Mbinu za kilimo en_US
dc.subject Umuhimu wa miti en_US
dc.subject Uharibifu wa misitu en_US
dc.title KILIMO MSETO en_US
dc.title.alternative Mwongozo Mdogo kuhusu kilimo cha Mstari (alley),Mbinu Mojawapo ya Kilimo Mseto en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu