Kwa ufupi:
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro pamoja na maeneo ya mtwara. na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na:
1. Chakula cha wanyama (Mashudu na majani) 2. Kurutubisha ardhi 3. Chakula cha binadamu (Confectionary) Kwa ujumla zao hili hutumika na wakulima kama zao la biashara