Ghala la Mkulima

UtafutajiChakula na Lishe Kwa Somo "Chakula"

UtafutajiChakula na Lishe Kwa Somo "Chakula"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (COUNSENUTH, 2010-07)
    Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko ...
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project - University Research Co., LLC, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utaarishaji wa chakula kwa watoto wanaoanza kula kuanzia miezi sita
  • Mwandishi Hajulikani (Peace Corps, 2012)
    In some ways, cooking is a metaphor for Peace Corps service. You try new things, and you fail. You experiment some more, and you succeed! Sometimes you ‘re really proud of what you’ve accomplished, and other times, you’d ...
  • Mwandishi Hajulikani (AVRDC – The World Vegetable Center Regional Center for Africa, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea mapishi ya mboga mbalimbali za asili kwa ufupi.
  • Mwandishi Hajulikani (Bioversity International, 2011)
    Kitabu kinazungumzia mbogamboga za watu wa pwani ukanda wa Mombasa nchini Kenya na ikiwa ni kielelezo cha mboga zote za Kimijikenda. Mijikenda maana yake ni makabila tisa yanayosikilizana kwa lugha. Makabila hayo tisa ya ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-05-22)
    Kuna mboga kuu mbili za mizizi katika Afrika Magharibi - mihogo na viazi vikuu au magimbi. Muhogo unapatikana mwaka mzima, ni wa bei nafuu na unajulikana, au tukisema kwa usahihi, ulijulikana kuwa chakula cha maskini. Nyingine ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2016-03-09)
    Je umewahi kufikiria kuwa wadudu lishe ni moja ya majawabu ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, halikadhalika lishe na kutokomeza umaskini? Kama hapana, basi fuatilia makala hii kutoka mfuko wa Umoja wa ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-25)
    Protini ni nini? Protini ni moja ya virutubisho vitatu, pamoja na mafuta na wanga, ambayo tunahitaji kwa kiasi kikubwa (macro) katika mlo wetu. Nywele zetu, ngozi, mifupa na misuli yote yametengenezwa kutokana na protini ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-03-09)
    samaki wenye mafuta ni wazuri kwa afya? ikiwa ni hivyo, ni aina gani bora na unapaswa kula mara ngapi? Nicola Shubrook, mtaalamu wa lishe, anaelezea faida za samaki hawa.Samaki wa mafuta mengi ya asidi ya mafuta ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, 2017)
    Lishe ina uhusiano mkubwa na afya. Lishe duni au utapiamlo unaotokana na ulaji duni na maradhi ni mojawapo ya matatizo makubwa ya afya nchini Tanzania. Utapiamlo unawaathiri zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano ...
  • Lyimo, C. S; Malimbwi, R. E; Lyimo-Macha, J. G; Macha, E; Kawamala, P (TARP II-SUA Project, 2005-02)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH) wakishirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), wamekuwa wakitekeleza mradi wa "Uhakika Wa Chakula na Pato la Kaya kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (2013)
    Samaki ni aina moja ya chakula chenye manufaa zaidi ulimwenguni, huwa na manufaa ya kuotesha mwili kwa afya njema. Makusudi ya hiki kitabu ni kufahamisha manufaa na uzuri yanayoletwa na ulaji wa samaki. Cha nuia upishi ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2020-04-09)
    Utafiti mwingi juu ya pilipili umeonyesha namna pilipili inavyoweza kuathiri afya, lakini matokeo ni mchanganyiko Viungo kwenye chakula vimekuwa vikitumiwa kwa miaka mingi sana. Binzari' Turmeric' na pilipili zimefanyiwa ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account