Kwa ufupi:
Kitabu kinazungumzia mbogamboga za watu wa pwani ukanda wa Mombasa nchini Kenya na ikiwa ni kielelezo cha mboga zote za Kimijikenda. Mijikenda maana yake ni makabila tisa yanayosikilizana kwa lugha. Makabila hayo tisa ya Mijikenda ni Digo, Giryama, Kambe,
Duruma, Rabai, Ribe, Jibana, Chonyi na Kauma.