Ghala la Mkulima

Uendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipato

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mpagalile, J
dc.contributor.author Laswai, H
dc.contributor.author Balegu, W
dc.contributor.author Kulwa, K
dc.contributor.author Msemo, J
dc.contributor.author Mwinuka, V
dc.contributor.author Gowele, D
dc.contributor.author Chaula, D
dc.contributor.author Makindara, J
dc.date.accessioned 2017-11-17T09:57:11Z
dc.date.available 2017-11-17T09:57:11Z
dc.date.issued 2010-01
dc.identifier.isbn 978 9987 640 54 6
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/69
dc.description.abstract Muhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa Tanzania na Musumbiji. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilito katika nchi hizo mbili. Tunawahimiza wadau wote kuongeza juhudi katika kilimo cha muhogo. Lengo la kitabu hiki ni kuwaelimisha wakulima wadogowadogo pamoja na wagani wanaowasaidia wakulima juu ya njia mbalimbali za usindikaji wa muhogo ili kuongeza thamani, Kitabu hiki kimetumia lugha rahisi kumuwezesha mkulima kuelewa na kufuatilia yaliyomo. Maelezo ya kina kuhusu yaliondikwa kwenye kitabu hiki yanaweza kupatikana kutoka kwa wataalarnu waandalizi wa kitabu hiki. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher SADC - FIRCOP - SUA en_US
dc.subject Muhogo en_US
dc.subject Mihogo en_US
dc.subject Usindikaji en_US
dc.subject Matumizi en_US
dc.title Uendelezaji wa matumizi ya muhogo: Muhogo ni chakula; muhogo ni mali na pia muhogo ni chanzo cha kipato en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu