Makundi, R. H; Misangu, R. N; Reuben, S. O. W. M; Kilonzo, B. M; Ishengoma, C. G; Lyimo, H; Mwatawala, M
(Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili, Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2005-01)
Hifadhi bora ya mazao inahakikisha familia inakuwa na chakula
cha kutosheleza mwaka mzima. Pia mazao yanaweza kuuzwa
wakati wowote ili kuongeza kipato. Mradi wa hifadhi bora ya
mazao na udhibiti wa viumbe waharibifu ...