Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Globalpublishers, Globalpublishers (Globalpublishers.co.tz, 2020-01)
    kilimo Bila Udongo,katika teknolojia hii, kinachofanyika ni kujua ili mmea uweze kumea, kukua na kutoa mazao, huwa unahitaji virutubisho na madini gani katika ardhi? Ukishajua mahitaji hayo, basi zinatafutwa kemikali zenye ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mjasiriamali Hodari, 2018-02)
    Nyanya chungu ni zao jamii ya mbogamboga linalotumika kwa matumizi mengi kama mboga, dawa n.k. Zao hili hustawi maeneo yenye halijoto tofauti tofauti nchini Tanzania.
  • Matanzania blog, Mtanzania.co.tz (Mafatanzania blog/Mtanzania.co.tz, 2024-03)
    Kampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe ...
  • Chuo Kikuu cha kilimo cha Sokoine, Food Land (SUA, 2024-03)
    Kitabu hichi kimezungumzia mambo mbalimbali kama Maandalizi ya ardhi,namna bora ya upandaji, aina ya maharage na sifa zake na virutubisho vinavopatikana kwenye maharage.
  • Mbega, Daniel (Maendeleo Vijijini, 2017-03)
    KWA miaka mingi ndizi ndilo zao kuu la chakula mkoani Kagera, na sasa limekuwa zao la biashara kwa baadhi ya wilaya kama Karagwe na Muleba. Ndizi zinasafirishwa kwa wingi kwenda mikoa mingine ndani na nje ya Kanda ya Ziwa ...
  • IIT, CGIAR (IIT, 2008-06)
    Kunde ni zao jamii ya mikunde. Faida kubwa ya zao hili ni: • Chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. • Mabaki ya mmea wa kunde ni chakula kizuri cha mifugo. • Hurutubisha udongo.
  • Minja, Lenald (Wauzaji Blog, 2024-08)
    Kilimo cha Pamba hulimwa nchini Tanzania na hukuzwa mikoa mbalimbali na pia pamba ndio hutumika kutengenezea uzi na nguo,mafuta.
  • Kilimoajira (Kilimoajira, 2018-09)
    Njugu ni mbegu za mmea wa njugu. Mmea huo unapoendelea kusitawi huwa unachanua maua ya manjano ambayo hujichavusha yenyewe.
  • Mtalula, Mohamed (Mogri culture Tanzania, 2023-03)
    Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani. Zao hili lina wapatia watu shughuri za kufanya na hivyo kuwapatia kipato kuanzia kwenye nyanja za uzalishaji ...
  • TUKO (TUKO, 2022-05)
    Unapokula tikitimaji, utafaidi protini, Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium, Carotene, mafuta, nyuzinyuzi (fiber), na madini mengineyo. Pia mwili utapata nguvu za kupambana na maradhi na kukuondoa ...
  • Wizara ya kilimo (Wizara ya kilimo, 2014-01-31)
    Jina la kitalaam ni Curcuma domestica na kwa kiingereza ni turmeric. Zao hili asili yake ni Mashariki ya Mbali, na linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera Kilimanjaro, Morogoro naZanzibar.
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Kipeperushi kinazungumzia upandaji wa mikorosho mipya ambappo ni kitendo cha kuanzisha shamba jipya kwa kufuata kanuni za kilimo bora cha mikorosho.Mashamba ya wakulima wengi yana mavuno hafifu, uzaaji mdogo hali iliyotokana ...
  • Mishili, Fulgence J. (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, 2024-02-24)
    Kilimo Biashara ni shughuli za biashara na usimamizi zinazofanywa na makampuni na wazalishaji ambazo hujishughulisha katika utoaji wa pembejeo kwa sekta ya kilimo na ufugaji, kuzalisha mazao, uchakataji, usafirishaji, ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Viriba vinaweza kutengenezwa kwa kutumia mifuko ya plastiki au karatasi ya plastiki kiuchumi viriba vidogo( i.e 7.5 sm kipenyo sm 20 kimo) Vinamanufaa zaidi kwasababu huhitaji udongo kidogo na huchukua eneo dogo la kitalu ...
  • Mohamed, Mtalula (Mogri culture Tanzania, 2024-04-13)
    Kanuni hizi zinajumuisha Kuandaa shamba mapema, matumizi ya mbegu bora, Kupanda kwa wakati na kwa nafasi, matumizi bora ya maji, matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu, kudhibiti magugu, magonjwa na wadudu wa mazao. Pia ...
  • Farm Radio (Upscaling Technologies in Agriculture Through Knowledge and Extension, 2017-12)
    Mwongozo huu ni matokeo ya mradi “Upscaling Technologies in Agriculture Through Knowledge and Extension (UPTAKE) katika mradi mkubwa wa “New Alliance ICT Extension Challenge Fund. UPTAKE unafadhiliwa na IFAD chini ya ...
  • Karuga, James (Farm radio fm, 2022-06-03)
    Jinsi kulima baadhi ya mazao pamoja (kilimo mseto) kunaweza kuongeza mavuno. Ni mazao gani ambayo yanaweza kupandwa pamoja bila kuingilia ukuaji na ukomavu wa kila moja, kwa mfano mazao ya mahindi na mikunde. Pia kuna ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account