Mwandishi Hajulikani (JICA, 2000)
Kijitabu ambacho kimekusanya taarifa mbali mbali zikiwemo za ulimaji wa mboga mboga, matunda, kilimo, uhifadhi na usindikaji wa mazao, matumizi ya maji, kutunza udongo, ujenzi wa nyumba na masuala yahusuyo vikundi vya ...