DSpace at My University: Recent submissions

  • Mtenga, L.A (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, 2003)
    Mradi wa uboreshaji wa mauzo, uhifadhi na ulaji wa nyama vijijini unafadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika lake la maendeleo (NORAD) chini ya mradi mkubwa wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya kwa Wakulima ...
  • Global publishers (Global publishers, 2020-01-02)
    KWA miaka nenda rudi, kilimo ndiyo kimekuwa uti wa mgongo kwa watu wengi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania.Tangu enzi za mababu zetu, kilimo ndiyo kimekuwa njia ya kuhakikisha kaya zinapata mahitaji muhimu, ...
  • Global publishers (Global publishers., 2023-12-09)
    Mbegu za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu za kiume, sawa na ilivyo kwa samaki pweza na supu yake. Madaktari na wataalamu wa lishe ...
  • Wizara ya maliasili na utalii (Wizara ya maliasili na utalii, 2006-12)
    Taarifa za wataalam zinaonyesha kuwa vina vya maji katika Ziwa Victoria na Ziwa Rukwa vimepungua sana kutokana na uharibifu wa mazingira ambao nchi zilizoendelea hupendelea kuuita Mabadiliko ya Hali ya Hewa" ili kuficha ...
  • Kimiti, P.P (Afisa kilimo msaidizi ofisi yakilimo Tanu., 1977)
    TANU ya sasa ina kazi kubwa sana, maana TANU inafanya kazi ya kuelimisha, kueleza na kujcnga Taifa letu ili litoke katika hali ya unyongc na kuwa katika hali ya neema na nguvu. Kania sote tunavyoelcwa ni kwamba katika ...
  • Mamiro, Delphina (PANTIL Project, 2010)
    Uyoga ni mmea aina ya “kuvu* ambao huota kama vijimelea. Uyoga unatofautlana na mlmea mlnglne kwa kukoaa chembe chembe za kloroflli zinazowezeaha mmea kujitengpnezea chakula chake wenyewe kwa kutumla hewa ya karbonldioksaidi. ...
  • wizara ya kilimo (Nuta Press, 1971)
    Kabla ya Tanzania kupata uhuru, serikaii ya kikoloni ilijiingiza sana katika mazao ya biashara na nchi za nje na haikujali sanajuu ya mazao yaliyotumika humu nchini hasa yale ya chakula ambayo wananchi hutumia. Siasa ...
  • Mashaka, R. I (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 1995)
    Kitabu hiki kinampatia mkulima mbinu bora za kunyunyizia dawa kwenye pamba ili kuondoa vijidudu vinavyoharibu ukuaaji wa pamba. Pia jinsi ya kutumia zana za kilimo na mavazi sahihi wakati wa kunyunyizia dawa. Mkulima ...
  • Shannon, Emroy (NEW-MEXICO STATE UNIVERSITY COOPERATIVE EXTENSION SERVICE., 1971-08)
    Tomatoes are attacked by several disease organisms that reduce both yield and quality. Control of these diseases means the difference between profit and loss. Effective control consists of knowing what diseases you have ...
  • Maswa District Council (Halmashauli ya wilaya ya Maswa, 2022)
    Kampeni ya uhamasishaji wa elimu bora ya kilimo cha pamba umefanyika katika Wilaya ya Maswa lengo likiwa ni kuwaelimisha wakulima wa pamba kanuni bora za kilimo hicho ili waweze kulima kwa tija na kuongeza uchumi wa mkulima, ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2021-06)
    Ukulima wa mwani visiwani Pemba wachangamshwa na mradi wa IFAD na GEF . Sasa wakazi hawa wa kisiwa cha Pemba wanazidi kutegemea chanzo mbadala cha mapato kinachoota chini ya maji ya bahari, Mwani.
  • Silayo, V.C.K (Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Sua, 2004)
    Kutokana na ukweli kwamba muhogo huharibika baada ya siku chache (2-3) baada ya kuvuna ni vyema ukasindikwa ili kuwa katika hali ya kutumika kwa muda mrefu ujao. Sababu nyingine ya kusindika muhogo ni kuongeza thamani ya ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2018-02)
    Ngamia ni mnyama muhimu katika maeneo ya ukame au baridi kali anakotumika kwa shughuli mbalimbali ikiwemo usafiri, chakula kupitia maziwa na nyama yake, kuwawezesha wanawake kiuchumi na pia kulinda mazingira. Shirika la ...
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2019-05-17)
  • Mamlaka ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2019-05-25)
  • Mmbando, Frank (Tari, 2003)
    Choroko ni zao jamii ya mikunde, ni zao la chakula na biashara. Choroko hustawi katika udongo wa aina tofauti usiotuamisha maji. Hustawi zaidi kwenye ukanda wa chini na wa kati, yaani mita 0 hadi 1500 kutoka usawa wa bahari, ...
  • Mamlaka ya chakula na lishe. (Mamlaka ya chakula na lishe, 2019-03-17)
  • SAT (Kituo cha mafunzo ya wakulima, 2023)
    Mfugaji wa kuku ana jukumu la kuhakikisha kuku wake wanaishi katika mazingira mazuri kiasi cha kutosha kufanya uzalishaji.Kuku ni jamii ya ndege wanaofugwa.Vifaranga ni watoto wa kuku waliotoka kwenye yai wenyeumri kuanzia ...
  • Nzige 
    Wingu la mashahidi (Wingu la mashahidi, 2022-11-14)
    Hii ni jamii ya Panzi, ambayo ndio jamii kubwa kimaumbile kuliko jamii zote za panzi, Nzige wanasifa ya kutembea kimakundi na wanahama kutoka ukanda mmoja kwenda mwingine, na wanapotua mahali wanaharibu mazao ndani ya muda ...
  • Taasisi ya KIlimo Naliendele (Taasisi ya KIlimo Naliendele, 2022-06-25)

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account