xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Idara ya uhusiano na elimu a wakulima mamlaka ya pamba Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2022-04-20T10:33:06Z | |
dc.date.available | 2022-04-20T10:33:06Z | |
dc.date.issued | 1999 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/626 | |
dc.description.abstract | PAMBA ni zao ambalo hustawi vizuri sana katika sehemu kubwa ya nchi yetu. Pamba hustawi katika udongo wa aina mbali mbali mradi tu maji yawe yanapenya kwa urahisi na usiwe na chachu (acidic) kwa wingi. Kiasi cha inchi ishirini za mvua hustawisha pamba vema, kama ikinyesha kwa mpango mzuri. Mwinuko wa kuanzia usawa wa bahari hadi futi 4,500 kutoka usawa wa bahari ndiyo hasa hufaa kwa ustawishaji wa pamba. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | kiwanda cha uchapaji cha taifa | en_US |
dc.subject | Pamba | en_US |
dc.subject | Kilimo, mkulima | en_US |
dc.title | Kilimo cha pamba Tanzania | en_US |
dc.type | Article | en_US |