Ghala la Mkulima

Utafiti wa binadamu na mazingira mikoa ya kati Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ostberg, Wilhelm
dc.date.accessioned 2022-04-20T10:14:42Z
dc.date.available 2022-04-20T10:14:42Z
dc.date.issued 1994-05-23
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/619
dc.description.abstract Mpango wa utafiti wa Binadamu na Mazingira Mikoa ya Kati Tanzania unaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Institute of Resource Assessment (IRA), Chuo Kikuu cha Dar es-salaam, nchini Tanzania, na Environment and Development Studies Unit (EDSU), School of Geography, Stockholm University, Sweden. Watafiti wapatao kurni na tano kutoka nyanja mbalimbali wanahusika na utafiti huu. Vyuo hivyo viwili vinashirikiana katika rnipango mbalimbali ya kuandaa na kutekeleza shughuli za utafiti. Mpango huu unaratibiwa na Mkurugenzi wa IRA, Profesa Idris Kikula na Mkuu wa kitengo cha EDSU, Profesa Carl Christiansson. Fedha kwa ajili ya mpango huu zimetolewa na the Swedish Agency for Research Cooperation with the Developing Countries, SAREC. Matokeo ya utafiti huu yanatarajiwa kutumika na idara mbalimbali za serikali na mashirika ya umma,miradi ya Hifadhi Ardhi na Mazingira na mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliyo katika rnikoa hiyo. Wakati huo huo matokeo ya utafiti huo yatasaidia katika kuelewa hali halisi ya mazingira na maturnizi ya ardhi katika rnikoa inayohusika. Makala haya yana taarifa ya utafiti uliofanyika katika kuchangia mpango huo. Orodha ya makala mengine yanayohusiana na mpango huo wa utafiti yanapatikana kutoka Institute of Resource Assessment, Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam, S.L.P.35097, Dar es-salaam au kutoka the Environment and Development Studies, School of Geography, Stockholm University, S-106 91 Stockholm, Sweden. en_US
dc.description.sponsorship STOCKHOLM UNIVERSITY en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM en_US
dc.subject Ulezi en_US
dc.subject Mifugo en_US
dc.subject Ulezi en_US
dc.title Utafiti wa binadamu na mazingira mikoa ya kati Tanzania en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu