Ghala la Mkulima

Soya kwa lishe bora: Virutubishi na matayarisho yake kwa mapishi mbalimbali

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Laswai, H. S
dc.contributor.author Kulwa, K. B. M
dc.contributor.author Ballegu, W. R .W
dc.contributor.author Silayo, V. C. K
dc.contributor.author Ishengoma, C. G
dc.contributor.author Makindara, J. A
dc.contributor.author Mpagalile, J. J
dc.contributor.author Rweyemamu, C. L
dc.date.accessioned 2020-10-07T06:24:51Z
dc.date.available 2020-10-07T06:24:51Z
dc.date.issued 2005-06
dc.identifier.isbn 9987-422-28-4
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123456789/524
dc.description.abstract Katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania, tatizo la utapiamlo limekuwa tatizo sugu. Kiwango cha wanaosumbuliwa na tatizo hili katika nchi yetu kama asilimia thelatini ya watu wote. Jambo hili si la kufumbia macho kwa maana nguvu kazi kubwa ya nchi inapotea. Tatizo hili pia linasababisha watoto wengi mashuleni kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao. Kwa mantiki hii maendeleo ya nchi yanafifia kiuchumi na kielimu pia. Kujikwamua katika tatizo hili sio jambo rahisi. Hata hivyo, tunaamini kuwa, bila hata msaada kutoka nje ya kaya, kaya nyingi zinao uwezo wa kujinasua nalo. Kikubwa ambacho wanakikosa ni taaluma katika kutumia baadhi ya malighafi waliyo nayo kiutaalamu kuwaondolea kero hii. Zao la soya limesaidia sehemu nyingi duniani kuondoa utapiamlo, lakini katika Tanzania zao la soya halijatumika kikamilifu kwa sababu za kukosa taaluma za namna ya kulisindika na pia mapishi mbali mbali yanayotokana nalo. Kijitabu hiki ni juhudi makusudi za wataalamu wachache walioguswa na hili tatizo na kuamua kuwasaidia wale wengi wasio na hiyo taaluma kutangaza na kuhamasisha kilimo cha soya sio tu kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na hivyo kuboresha afya bali pia kutumia zao hili hili kupunguza au kuondoa umaskini katika kaya. Azma ya juhudi hizi ni kuona Tanzania nzima ikinufaika na hivyo kupunguza asilimia ya wenye utapiamlo na maskini katika taifa letu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher FOCAL - SUA en_US
dc.relation.ispartofseries FOCAL;6 -2005
dc.subject Soya en_US
dc.subject Mikunde en_US
dc.subject Lishe en_US
dc.title Soya kwa lishe bora: Virutubishi na matayarisho yake kwa mapishi mbalimbali en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu