Ghala la Mkulima

Uendelezaji mpana wa kilimo Mafunzo Kutoka Njombe

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Kinabo, L. D. B
dc.contributor.author Tarimo, A. J. P
dc.contributor.author Batamuzi, E. K
dc.contributor.author Makungu, P. J
dc.date.accessioned 2020-10-07T06:23:56Z
dc.date.available 2020-10-07T06:23:56Z
dc.date.issued 2003-03
dc.identifier.isbn 9987-605-9;1-,4
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123456789/517
dc.description.abstract Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ughani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara iliyofanyika mwezi Machi 2003. Ziara hii iliwashirikisha wakulima na washauri wa ughani kutoka Kanda ya Mashariki ikijumuisha wilaya za Handeni, Lushoto, Morogoro, Bagamoyo, Kibaha, Korogwe na kanda ya Nyanda za Juu Kusini ikiwajumisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbeya Mjini, Njombe, Sumbawanga, Songea, Rujewa, Namtumbo na Iringa Mjini, ambao walitembelea wakulima wa wilaya ya Njombe, Iringa. Ripoti hii pia inapatikana katika lugha ya kiingereza. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher TARP II-SUA Project en_US
dc.relation.ispartofseries ;TS2-74
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Tekinolojia en_US
dc.title Uendelezaji mpana wa kilimo Mafunzo Kutoka Njombe en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu