Ghala la Mkulima

Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki Kuhusu: Mahusiano Baina ya Wakulima na Wafugaji Iliyofanyika Mjini Bagamoyo Tarehe 8 - 11 Oktoba 2001

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Bakari, A. M
dc.date.accessioned 2020-09-22T05:27:56Z
dc.date.available 2020-09-22T05:27:56Z
dc.date.issued 2001
dc.identifier.isbn 9987605516
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123456789/500
dc.description.abstract Chapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarishaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa mazao na wafugaji. Warsha ilifanyika katika Chuo eha Uongozi wa Elimu (MANTEP) Mjini Bagamoyo tarehe 8 hadi 10 Oktoba 2001. Warsha hii ni moja ya warsha ambazo zimepangwa kufanyika kama shughuli muhimu za kuutekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi Septemba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway kupitia Shirika lake la Maendeleo (NORAD), na unatekelezwa na Chuo Kikuu eha Sokoine eha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo. Warsha hizi zina madhumuni yafuatayo: 1. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na washauri wa kilimo na washika dau wengine ili kudadisi kuhusu mambo muhimu yanayohitaji kushirikishwa pande zote kwa lengo la kufanikisha kilimo. 2. Kuchambua na kuainisha matatizo yanayowakabili wakulima wadogowadogo. 3. Kudadisi ili kutambua mambo gani yapewe uzito au kipaumbele zaidi. 4. Kushiriki katika kupeana uzoefu wa maeneo muhimu ya kilimo. Kamati ya Utekelezaji wa Mradi inatarajia kuwa chapisho hili litakuwa la manufaa kwa washika dau mbalimbali, na mapendekezo yaliyotolewa na washiriki wa warsha yatachangia katika juhudi za kuimarisha uhakika wa chakula nchini. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher TARP II-SUA Project en_US
dc.relation.ispartofseries ;TS 2-31
dc.subject Wakulima en_US
dc.subject Wafugaji en_US
dc.title Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki Kuhusu: Mahusiano Baina ya Wakulima na Wafugaji Iliyofanyika Mjini Bagamoyo Tarehe 8 - 11 Oktoba 2001 en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu