Ghala la Mkulima

Zijue dalili za ugonjwa wa ndigana kali kwenye ng'ombe

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mbassa, G. K
dc.contributor.author Mgongo, F. O. K
dc.contributor.author Luziga, C
dc.contributor.author Kashoma, I. P. B
dc.contributor.author Kipanyula, M. J
dc.date.accessioned 2020-09-22T05:27:46Z
dc.date.available 2020-09-22T05:27:46Z
dc.date.issued 2009
dc.identifier.isbn 978 9987 640 45 4
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123456789/499
dc.description.abstract Katika nchi za Afrika ya Mashariki, Kati na Kusini magonjwa makuu ya mifugo ni yale yanayosababishwa na viini vidogo vya' chembechembe moja vinavyoitwa Protozoa, ambavyo husambazwa kwa wanyama na aina mbalimbali za kupe na ndorobo (mbung'o). Kupe na mbung'o wanaambukizwa na viini ambavyo vinaambukiza mifugo pia na kusababisha magonjwa na vifo vingi. Udhibiti wake ni mgumu na wa qhararna kubwa sana. Kwa sababu ya magonjwa haya, faida za mifugo katika nchi hizi zitaonekana endapo magonjwa ya kupe na ndorobo yatatokomezwa. Kijitabu hiki kinaeleza dalili za ugonjwa wa ndigana kali kwenye ng'ombe, pamoja na zile za mnyama aliyekufa kwa ugonjwa huu. Walengwa wa elimu hii ni wafugaji iii, waweze kudhibiti magonjwa ya mifugo yanayoenezwa na kupe kwenye mifugo yao. Kijitabu kitawaelimisha na kuwanufaisha pia watafiti, wataalamu, wanafunzi na maafisa wa Serikali wenye uamuzi kuhusu sheria na sera za kuendeleza ufugaji Tanzania na nchi zingine za Afrika. Kijitabu kimetoa maelezo kamili kuhusu maradhi ya ndigana kali, ugonjwa hatari sana wa ng'ombe una wanyama wote wanaoambukizwa, kwa sababu mfugaji akidhibiti ndigana kali atakuwa amedhibiti magonjwa yote ya kupe. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher PANTIL - SUA en_US
dc.relation.ispartofseries ;PPN 024
dc.subject Ndigana en_US
dc.subject Ng'ombe en_US
dc.subject Magonjwa en_US
dc.title Zijue dalili za ugonjwa wa ndigana kali kwenye ng'ombe en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu