Ghala la Mkulima

Mwongozo wa ufugaji bora wa samaki

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Munubi, R. N
dc.contributor.author Lamtane, H. A
dc.contributor.author Mwandya, A. W
dc.contributor.author Madalla, N. A
dc.contributor.author Chenyambuga, S. W
dc.date.accessioned 2020-09-21T06:10:21Z
dc.date.available 2020-09-21T06:10:21Z
dc.date.issued 2020
dc.identifier.isbn 978-9976-88-170-7
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123456789/497
dc.description.abstract Kitabu hiki cha mwongozo wa ufugaji bora wa samaki kimeandaliwa na kuandikwa na watalaamu wabobezi wa taaluma ya ufugaji wa samaki toka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Morogoro. Kimeandaaliwa ili kuchangia katika kukidhi mahitaji ya kitaalamu kwa wafugaji wa samaki aina ya perege au sato, kwa vile utafiti umebaini kwamba katika miaka ya hivi karibuni watu wengi wameanza kufuga samaki bila ya kuwa na elimu sahihi. Kitabu hiki cha mwongozo kimeeleza mambo yote ya msingi kwa ujumla wake kuanzia kuchagua eneo la mradi hadi uvunaji na uuzaji wa samaki aina ya perege au sato en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Idara ya Sayansi za Wanyama, Ukuzaji Viumbe Maji na Nyanda za Malisho, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. en_US
dc.subject Samaki en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.title Mwongozo wa ufugaji bora wa samaki en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu