Ghala la Mkulima

Maua kwa wakulima na wafanyabiashara

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Programu ya pantil
dc.date.accessioned 2024-06-25T06:59:55Z
dc.date.available 2024-06-25T06:59:55Z
dc.date.issued 2009
dc.identifier.isbn 978 9987 640 48 5
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/877
dc.description.abstract Carnation’ ni ua ambalo asili yake ni nchi za Ulaya zenye hali ya hewa ya baridi. Hapa Tanzania maua ya ‘carnation’ yaliletwa na wazungu katika vipindi tofauti. Mpaka sasa maua haya yanalimwa vijiji vya Tchenzcma na Nyandira huko Mgeta na kijiji cha Ruvuma (Morning Side) mkoani Morogoro. Maua aina ya ‘carnation’ pia yanalimwa na kampuni ya Highlanders wilayani Njombe na kijiji cha Ndiwili wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa. Mpaka sasa ugavi wa maua ya ‘carnation’ hautoshelczi mahitaji ya soko la ndani. Kwa mfano, wafanyabiashara wanahitaji zaidi ya banchi 100,000 kwa mwaka wakati wakulima hawawezi hata kuzalisha nusu yake. Matokco yakc maua mengi ya ‘carnation’ kwa ajili ya soko la ndani hununuliwa toka Nairobi nchini Kenya. Ni dhahiri kuwa watu wengi nchini Tanzania hawajui kiliino cha maua ya ‘carnation’. Sehemu hii ya kijitabu ina lengo la kuelezea juu ya kilimo cha ‘carnation’ kwa wakulima wadogo wadogo. hasa uzalishaji wa michc, upandaji wa michc bustanini, utunzaji wa bustani na uvunaji wa maua. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Chuo cha kilimo cha Sokoine. en_US
dc.subject maua en_US
dc.subject Wakulima en_US
dc.subject Wafanyabiashara en_US
dc.title Maua kwa wakulima na wafanyabiashara en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu