Ghala la Mkulima

Mwongozo wa kutengeneza chakula cha samaki na ulishaji wa samaki

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine
dc.date.accessioned 2024-06-24T06:48:18Z
dc.date.available 2024-06-24T06:48:18Z
dc.date.issued 2022
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/873
dc.description.abstract Samaki kama viumbe hai wengine wanahitaji kula chakula ili waishi na kukua. Katika mazingira ya asili kama vile mito, maziwa na bahari, samaki hula chakula cha asili kinachopatikana ndani ya maji. Vyakula hivyo ni pamoja na jamii ya mimea na vijidudu wanaopatikana kwenye maji. Lakini, samaki wa kufugwa hususan ufugaji wa kibiashara, huhitaji kulishwa chakula cha ziada chenye ubora iliyo na virutubisho vinavyohitajika ili aweze kukua vyema na kwa haraka zaidi. Uandaaji wa chakula cha ziada cha samaki hutegemea zaidi aina ya samaki, mfumo wa samaki husika katika kumeng’enya (kusaga) chakula pamoja na kiasi cha virutubisho vinachohitajika. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Chuo cha kilimo cha Sokoine en_US
dc.subject Samaki en_US
dc.subject Mwongozo en_US
dc.subject Ulishaji en_US
dc.subject Chakula en_US
dc.title Mwongozo wa kutengeneza chakula cha samaki na ulishaji wa samaki en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu