xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author TARP II SUA Project
dc.date.accessioned 2024-06-24T06:41:45Z
dc.date.available 2024-06-24T06:41:45Z
dc.date.issued 2002-12
dc.identifier.isbn 9987-650-74-5
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/871
dc.description.abstract Warsha iliandaliwa na Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (TARP II SUA) unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoinc cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula pamoja na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo (NLH). Lcngo kuu la warsha lilikuwa ni kubaini sababu zinazofanya uzalishaji wa kuku wa kienyeji kutokidhi mahitaji ya soko na kubuni mbinu za kukabiliana nazo ili mkulima aweze kuongeza uzalishaji wa kuku wa kienyeji na anufaike na soko lililopo la kuku wa kienyeji. Warsha ilikuwa na madhumuni mahsusi yafuatayo ili kufanikisha lengo hilo. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Chuo cha kilimo cha Sokoine en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Kienyeji en_US
dc.subject Uzalishaji en_US
dc.subject Soko en_US
dc.title Kuku wa kienyeji en_US
dc.title.alternative Je uzalishaji unakidhi soko? en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu