Ghala la Mkulima

Sababu Za Mbegu Za Maboga Kuipiku Supu Ya Pweza

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Global publishers
dc.date.accessioned 2024-04-05T08:34:03Z
dc.date.available 2024-04-05T08:34:03Z
dc.date.issued 2023-12-09
dc.identifier.citation https://globalpublishers.co.tz. en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/851
dc.description.abstract Mbegu za maboga zimekuwa kimbilio namba moja kwa baadhi ya watu, wakiwamo kina baba wanaozichangamkia kwa nia ya kujiongezea nguvu za kiume, sawa na ilivyo kwa samaki pweza na supu yake. Madaktari na wataalamu wa lishe wanathibitisha kuwa mbegu za maboga zina kiwango kikubwa cha virutubishi vya vitamin na madini na hivyo kusaidia katika kuupa mwili nguvu na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali yakiwamo ya baadhi ya aina za saratani, kisukari, moyo na ini. Imeelezwa na wataalamu kuwa kama ilivyo kwa sifa ya mnofu wa pweza, mbegu za maboga pia zina sifa ya kuwa sawa na kifurushi cha madini yanayomfaidisha mlaji kwa wakati mmoja, baadhi ya kiwa ni ya chuma, manganizi, maginizia, zinki na shaba. Walaji wa mnofu wa pweza hunufaika pia kwa wingi wa virutubishi kama protini, mafuta (fats) vitamin B12, selenium, madini ya chuma, shaba na vitamin B6. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Global publishers. en_US
dc.subject Mbegu en_US
dc.subject Maboga en_US
dc.subject Kuipiku en_US
dc.title Sababu Za Mbegu Za Maboga Kuipiku Supu Ya Pweza en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu