xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Kimiti, P.P | |
dc.date.accessioned | 2024-04-05T08:06:23Z | |
dc.date.available | 2024-04-05T08:06:23Z | |
dc.date.issued | 1977 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/849 | |
dc.description | jarida | en_US |
dc.description.abstract | TANU ya sasa ina kazi kubwa sana, maana TANU inafanya kazi ya kuelimisha, kueleza na kujcnga Taifa letu ili litoke katika hali ya unyongc na kuwa katika hali ya neema na nguvu. Kania sote tunavyoelcwa ni kwamba katika kuwaongoza wananchi. ni budi kwanza tuwasikilize, tushirikiane nao na tufanye kazi pamoja nao. Uhusiano uliopo kati ya Serikali na chama cha TANU ni mkubwa. J ambo la kukumbukwa ni kwamba chama siyo chombo cha Serikali, bali ni Serikali ambayo ndiyo chombo kinachotumiwa na chama katika kutekeleza matakwa yo vote ya wananchi ambao sisi sote tunawatumikia. Hii ndiyo maana tunasema kuwa chama kina wajibu mkubwa wa kufanya, katika kufikiria misingi ambayo baada ya kuwekwa kwa uwazi, ni budi Serikali ifuate na kutekeleza. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika ni sehemu ya Serikali. Hivyo Wizara hii ina wajibu mkubwa sana katika kuitekeleza siasa ya TANU ambayo ndiyo inayoongoza Serikali. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Afisa kilimo msaidizi ofisi yakilimo Tanu. | en_US |
dc.subject | Siasa ya Kilimo | en_US |
dc.subject | Tanu | en_US |
dc.title | Siasa ya Tanu katika Kilimo. | en_US |
dc.title.alternative | Twendeni vijijini. | en_US |
dc.type | Article | en_US |