xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | wizara ya kilimo | |
dc.date.accessioned | 2024-04-05T07:39:37Z | |
dc.date.available | 2024-04-05T07:39:37Z | |
dc.date.issued | 1971 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/847 | |
dc.description.abstract | Kabla ya Tanzania kupata uhuru, serikaii ya kikoloni ilijiingiza sana katika mazao ya biashara na nchi za nje na haikujali sanajuu ya mazao yaliyotumika humu nchini hasa yale ya chakula ambayo wananchi hutumia. Siasa yao ya kikoloni wakati huo ilikuwa kuku- za mazao ambayo yangeuzwa na kukuza uchumi wa nchi zao. Siasa hiyo kwa kweli iliweza kuleta madhara kwa mazao ambayo yangetumika au kuliwa humu nchini, kwa hiyo upanuzi wa kilimo cha mazao machache kuliifanya Tanganyika kutesemea mazao kama katani na kahawa kuwa mazao makuu ya biashara na nchi za nje. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Nuta Press | en_US |
dc.subject | Mazao | en_US |
dc.subject | Halmashauri | en_US |
dc.subject | Taifa | en_US |
dc.title | Halmashauri ya taifa ya mazao | en_US |
dc.title.alternative | Mazao | en_US |
dc.type | Learning Object | en_US |