Ghala la Mkulima

Usindikaji na matumizi ya mihogo.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Silayo, V.C.K
dc.date.accessioned 2024-04-04T07:53:20Z
dc.date.available 2024-04-04T07:53:20Z
dc.date.issued 2004
dc.identifier.isbn 9987 605 90 7
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/842
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Kutokana na ukweli kwamba muhogo huharibika baada ya siku chache (2-3) baada ya kuvuna ni vyema ukasindikwa ili kuwa katika hali ya kutumika kwa muda mrefu ujao. Sababu nyingine ya kusindika muhogo ni kuongeza thamani ya zao hili, kwa mfano usindikaji huzalisha bidhaa zinazoweza kuwa na mvuto zaidi kwa walaji, mali ghafi kwa ajili ya bidhaa za viwandani na madawa, na upunguzaji wa gharama za usafiri pale ambapo usindikaji unafanyika kweneye maeneo ya uzalishaji. Nyenzo zitumikazo kusindika zao hili hutegemea sana aina ya bidhaa inayokusudiwa. Ukataji wa chips au silesi waweza kufanywa kwa kutumia nyenzo za asili ambapo kisu kikali na mikono ya binadamu ndiyo vitegemezi. Njia hii inafanywa kwa taratibu sana na hivyo kutokidhi mahitaji makubwa. Kwa mahitaji makubwa kidogo nyenzo zilizotengenezwa viwandani mahususi kwa kazi hii ni muhimu. Iwe njia za asili zimetumika au kwa kutumia nyenzo zilizotengenezwa mahususi kwa usindikaji ni lazima kwanza muhogo uwe umemenywa na kusafishwa kwa maji safi. en_US
dc.description.sponsorship TARP II-SUA Project en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo Sua en_US
dc.relation.ispartofseries ;Toleo Namba TS2 - 83
dc.subject Muhogo en_US
dc.subject Uzalishaji wa Mihogo en_US
dc.title Usindikaji na matumizi ya mihogo. en_US
dc.title.alternative :muhogo ni chakula,muhogo ni pesa en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu