Ghala la Mkulima

Kilimo cha kaya ni muarobaini wa lishe duni duniani

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Shirika la Kilimo Duniani (FAO)
dc.date.accessioned 2024-02-23T10:28:15Z
dc.date.available 2024-02-23T10:28:15Z
dc.date.issued 2019-07-17
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/828
dc.description Chapisho en_US
dc.description.abstract Kaya zinazojihusisha na kilimo zinahitaji sera wezeshi za umma ili ziweze kuendana na kustawi katika mazingira ya sasa yanayobadilika kila uchao, amesema Mkurugenzi Mkuu wa shirika la chakula na kilimo duniani, FAO José Graziano da Silva. Akizungumza mjini New York, Marekani wakati wa uzinduzi wa muongo wa Umoja wa Mataifa wa kilimo cha kaya kando mwa jukwaa la ngazi ya juu la kisiasa kuhusu maendeleo endelevu, HLPF, Bwana da Silva amesema “tunahitaji kurekebisha mifumo yetu ya chakula na kuihusisha na shughuli za muongo wa kilimo cha kaya sambamba na muongo wa hatua za kuimarisha lishe.” en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la Kilimo Duniani (FAO) en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Mwarobaini en_US
dc.subject Lishe duni en_US
dc.title Kilimo cha kaya ni muarobaini wa lishe duni duniani en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu