Ghala la Mkulima

Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ndemanisho, Edith E
dc.date.accessioned 2024-02-23T10:00:17Z
dc.date.available 2024-02-23T10:00:17Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/823
dc.description Mtunze mbuzi akutunze en_US
dc.description.abstract Kitabu hiki cha “Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama" kimetayarishwa na mtaalam na muelimishaji wa somo la mbuzi na kondoo kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kwa Aiidi ya miaka 35, Profesa Edith Ndcmanisho. Lengo kubwa la kitabu hiki ni kuwaelimisha wafugaji wadogo wadogo wa mbuzi juu ya ufugaji wa kisasa ili kuongeza pato na lishe kwa familia. Aidha, kimetayarishwa kwa kutumia lugha rahisi inayomwczesha mkulima kuelewa yaliyomo kwa urahisi. Nchini Tanzania kuna mbuzi wanaokadiriwa kufikia milioni 24.5. Hadi sasa. kuna miradi michachc ya utafiti na macndclco ya uzalishaji wa wanyama hawa. Wafugaji wa inbuzi hawajaelimishwa juu ya mbinu mbali mbali za uzalishaji. Kwa hiyo kuna matatizo mengi yanayoathiri shughuli za uzalishaji wa mbuzi ikiwa ni painoja na ulishaji bora, uzalishaji (breeding), mabanda. magonjwa na utunzaji kwa ujumla. Soko la mbuzi ni kubwa hasa katika nchi za Uarabuni na huwa wanatafuta mbuzi wa nyama kwa wingi kutoka Tanzania. Ni vyema wafugaji wa mbuzi wakachangamkia hili soko kwani majirani zetu Kenya huwa wanao mbuzi bora ila idadi yoke sio kubwa kama ya nchini Tanzania. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Uzalishaji en_US
dc.subject Mbuzi en_US
dc.subject Nyama en_US
dc.title Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama en_US
dc.title.alternative Mtunze mbuzi akutunze en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu