Ghala la Mkulima

Jifunze kustawisha viazi mviringo.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ngeze, Pius B
dc.date.accessioned 2024-02-23T09:11:24Z
dc.date.available 2024-02-23T09:11:24Z
dc.date.issued 2009
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/820
dc.description.abstract Katika kundi la mazao ya mizizi, viazi mviringo ni maarufu na vina umuhimu wa pekec. Ni zao la chakula na biashara katika nchi nyingi zilizocndclca na zinazocndclea. Zao hili ni moja ya mazao manne ya chakula yanayozalishwa kwa wingi na kutumiwa na watu wengi sana duniani. Hustawi vizuri kwenye sehemu za miinuko, kati ya meta 1,300 na 2,700 juu ya usawa wa bahari. Kipindi cha kukomaa ni kati ya miezi mitatu na mitano.Mbali na utamu wa viazi mviringo, lakini mlaji hujipatia asilimia kubwa ya chakula chenye asili ya wanga. Aidha, vina kiasi cha kutosha cha protini, madini, vitamini na maji. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Tanzania Educational Publishers Ltd en_US
dc.subject Viazi en_US
dc.subject Mviringo en_US
dc.subject Kustawisha en_US
dc.title Jifunze kustawisha viazi mviringo. en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu