xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Shirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned 2024-02-23T07:45:34Z
dc.date.available 2024-02-23T07:45:34Z
dc.date.issued 2022-11-02
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/811
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Kiungo maarufu katika sehemu nyingi za dunia, giligilani ni shujaa asiyejulikana wa vyakula vya Kihindi. Na sasa mpishi mmoja anataka kukifufua, akiipa giligilani "utukufu unaostahili". Ukichunguza ndani ya viboksi vyovyote vya viungo vya Kihindi, kuna uwezekano mkubwa kukuta viungo - manjano, pilipili nyekundu ya unga na giligilani ya kusaga (mara nyingi vikichanganywa na binzari) - ambayo ni msingi wa vyakula vingi vya mboga. Ingawa haina rangi ya kuvutia kama manjano na haihusiani na ladha yoyote ya viungo vya India, giligilani (inayojulikana sana dhaniya au kothmir nchini India) labda ndiyo inayotumika zaidi kati ya viungo hivi vingi. Mbegu zake zilizosagwa huongeza ladha kwenye vyakula vingi, wakati unga wake, unaweza kutumika kutengeneza Curry Powder. Mmea wake mabua na majani yake mbichi mara nyingi hutumika kama ladha ya kumalizia yenye harufu nzuri na tamu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la chakula duniani en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Giligilani en_US
dc.subject Viungo vya chakula en_US
dc.title Zao la Giligilani en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu