Ghala la Mkulima

Jifunze kustawisha mikorosho.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ngeze, Pius B
dc.date.accessioned 2024-02-23T07:26:43Z
dc.date.available 2024-02-23T07:26:43Z
dc.date.issued 2010
dc.identifier.isbn 978 9987 07 023 7
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/808
dc.description.abstract Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, huslawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji uko chini ya mahitaji ya soko. Uzalishaji kwa ckari au hektari na kwa mtimmoja uko chini. Hii inatokana na wakulima wengi kutojua na kutozingatia kanuni bora za kilimo cha zao hili. Aidha, jitihada za kufufua na kuboresha mashamba ya mikorosho haziridhishi.Kitabu hiki ni jitihada ya kueleza kanuni bora hizo kama mchango wa mwandishi katika kuieta mapindpzi ya kilimo cha zao hili. Hii ni njia mojawapo ya kutekeleza Kilimo Kwanza katika Mikoa inayostawisha mikorosho. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Tanzania Educational Publishers Ltd en_US
dc.subject Mikorosho en_US
dc.subject Kustawisha en_US
dc.subject Jifunze en_US
dc.title Jifunze kustawisha mikorosho. en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu